Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa serikali ya Sudan Omar Hassan Al-Bashir anategemea kufunguliwa mashitaka ya Mauaji ya Kimbari Darfur. Mwendesha Mashtaka Mkuu (Luis Moreno-Ocampo - toka Argentina) katika Mahakama ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa vile JK kaamua kutokuwa na press conference kwa miezi miwili sasa na hata press yenyewe anapokuwa akiongea nayo inaonekana wapo ku-m-praise na sio kumuuliza maswali ya mwelekeo wan chi na hali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kigogo CELTEL anaswa na TAKUKURU Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imemkamata Ofisa Usalama wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Celtel (T) Limited, Bw...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kilango anavyosaka mabadiliko kwa nguvu zote Habari Zinazoshabihiana • Panga lisiishie Maliasili • Katika CCM sawa, serikalini bado • Nionavyo: Mahakama na Polisi changamoto...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maisha ni popote, yakishindikana Tanzania nenda Botswana, hapo jirani tu...si lazima Ulaya au Amerika. Chalenji kwa Serikali ya Tanzania, wafanyakazi wana maslahi mazuri nje kuliko ndani ya nchi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Zitto akitoka hospitalini jana.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Zichukuliwe hatua Zanzibar isigeuke kisiwa cha ufuska, ulevi Maulid Ahmed Daily News; Wednesday,July 09, 2008 @20:01 HIVI karibuni nilikuwa Zanzibar kwa takriban wiki tatu kwa ajili ya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Maonyesho ya sabasaba ya mwaka huu yalionyesha ubora zaidi ya yaliyotangulia. Maonyesho ya sabasaba yanaliingizia taifa fedha nyingi sana.Na pia maonyesho haya hutoa ajira ya msimu kwa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Emmanuel Mrema Daily News; Friday,July 11, 2008 @00:05 Mrembo wa Watanzania wanaoishi katika nchi za Jumuiya ya Ulaya (Miss EU) Lucy Fundikira kutoka Uholanzi ni miongoni mwa warembo wanne...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maonyesho ya sabasaba ya mwaka huu yalionyesha ubora zaidi ya yaliyotangulia. Tatizo ni jinsi ya watu kuingia uwanjani hapo ili kujionea biashara zilizoletwa kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wabunge wajiandaa kumkimbia Kikwete Mwandishi Wetu Julai 9, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Wachoshwa na chama kulinda mafisadi Wasisitiza kung’oka kwa Makamba BAADHI ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
[B][/B]Wakati Waziri katika nchi jirani akijiuzulu kwa kuuza Hotel ya kitalii ya REGENY INTERNATIONAL kwa bei "poa" ya DOLLAR 45,000,000.00( MILLION AROBAINI DOLLARI) sisi kwa pamoja tuliuza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ngeleja ducks query on secretive entities By Rodgers Luhwago, Dodoma THE CITIZEN The puzzle surrounding the ownership of Meremeta and Tangold mining companies could not get an answer in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kukubalika kwa muziki wa kikongo na wingi wa wanamuziki kutoka DRC wanaofanya kazi katika bendi za Tanzania kumeathiri hata lugha ya Kiswahili, kwani hata watanzania sasa wanalazimisha kuimba...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Polisi yazima uchawi bungeni Na Kulwa Mzee, Dodoma UCHUNGUZI uliofanywa katika sampuli zilizokusanywa ndani ya ukumbi wa Bunge na vumbi lililopatikana katika mashine ya kusafishia ndani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Too many fatty foods are dangerous not only to men's waistlines, but to their sperm production. In research presented Wednesday at a meeting of the European Society of Human Reproduction and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya jana Serikali kutoa yamko kwamba unga unga ulikuwa hauna madhara yoyote,na baada ya kusema pia kwamba hakuna mtu alikuwamo ndani,na kwa kuwa Chenge siyo aliyedhaniwa aliweka unga wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I mean, let's be serious here. What is wrong with us? Is it a chronic foolishness syndrome or what? The fact that Tanzania has been governed by the same immoral, greedy, ignorant, and...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kikwete, Membe na hipokrisis! Lula wa Ndali-Mwananzela Julai 9, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo KUNA watu wanafiki na wapo waigizaji. Kuna mambo ya kinafiki na mambo ya kizugaji...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Raia Mwema: Julai 9, 2008 Wachoshwa na chama kulinda mafisadi Wasisitiza kung’oka kwa Makamba BAADHI ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) sasa wanaelezwa kuanza kukichoka chama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…