Sam GM
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 535
- 30
Kwa vile JK kaamua kutokuwa na press conference kwa miezi miwili sasa na hata press yenyewe anapokuwa akiongea nayo inaonekana wapo ku-m-praise na sio kumuuliza maswali ya mwelekeo wan chi na hali halisi ilivyo kisiasa.
Katika kutafuta majibu ya maswali mengi na kumpata rais wetu atupe majibu ya maswali mengi kama ya Richmond, Epa, BOT na mengineyo, na kwa vile KLHnews imeweza kufanya majadiliano na mahojiano na wanasiasa wengine kama vile Zitto, Cheyo, Anna Kilango, Chacha Wangwe nk. Je kuna uwezekano KLHnews kufanya mahojiano/majadiliano ya moja kwa moja na mheshimiwa rais kupata majibu ya moja kwa moja?