ulaji Botswana

Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,848
57
Maisha ni popote, yakishindikana Tanzania nenda Botswana, hapo jirani tu...si lazima Ulaya au Amerika. Chalenji kwa Serikali ya Tanzania, wafanyakazi wana maslahi mazuri nje kuliko ndani ya nchi.

Tanzania: 150 Teachers May Go South

The Citizen (Dar es Salaam)

10 July 2008
Posted to the web 10 July 2008

Beldina Nyakeke

The Botswana government is seeking to recruit about 150 science teachers and college tutors from Tanzania, with salary promises of between Sh14 and 24 million every year for the posts.

The Southern Africa country is also looking for about 30 engineers in various fields to fill positions within its public service with equally attractive earnings rising up to Sh36 million per year for successful candidates.

The salary packages will attract several qualified local teachers, especially within the public service, who are taking home monthly salaries of less than $400. Botswana is offering about $1,000 a month for the teachers, among other benefits.

According to an advertisement that appeared in The Citizen yesterday, the successful candidates would also be entitled to other expatriate benefits, including free furnished housing, free medical cover for the successful professionals and their families and free transport to and from their work stations.

A Nairobi, Kenya based company, Productivity Management Associates, would do the search on behalf of the Botswana government.

The country is one of the most stable economies in sub-Saharan Africa, attracting droves of professional workers from especially neighbouring countries.

Meanwhile, as a result of the ongoing education sector expansion programme and due, mainly to poor salaries and working conditions, Tanzania is grappling with a critical shortage of secondary school teachers.

And the lure of the dollar is likely to worsen the situation for the country, currently in need of more than 40,000 secondary school teachers alone.

Tanzania Teachers Union (TTU) president Gratian Mukoba said the few available science teachers were likely to take up the jobs in Botswana.

"The money the Botswana government is promising to pay a teacher every year is equal to the mount that the Tanzanian government pays a teacher who has worked for 32 years as pension," Mr Mukoba said. He added that teachers locally worked under "terrible conditions".

The government recently raised salaries for civil servants in a bid to retain those who are still within its service and attract new ones. However, competition from the private sector is still high.

The Minister for Education and Vocational Training, Prof Jumanne Maghembe yesterday refused to comment on the implications of the Botswana advertisement on the country's education sector, or on the ministry's expansion programme.

He said he had not heard of the search for Tanzanian teachers by the Botswana government.

But Mr Mukoba said no one could stop those qualified and interested from leaving since TTU had signed the Commonwealth teachers' protocol, which allows the teachers to look for jobs in any member state to earn a decent living.

In addition, he said the Tanzanian government owed teachers more than Sh20 billion in outstanding salaries.

He urged the government to improve the working conditions of teachers before the situation goes out of hand.

According to a research conducted by TTU recently, about 40 percent of local teachers showed they were ready to quit the profession to look for other jobs elsewhere.
 
Sounds promising, hasa ukizingatia serikali ya TZ isivyowathamini walimu tangu tupate uhuru mpaka sasa na wenye nacho wanazidi kujilimbikizia tu. Kaa kuna mtu anaona usawa huo unamfaa nikutimka tu, kila mtu anahitaji maisha mazuri na uwezo wa kuwapatia watoto wake elimu nzuri.
 
You cannot talk of african successful economies without mentioning Botswana, is among the best after South Africa in the south of sahara.

I totally support anyone who what to change things.
 
Sounds promising, hasa ukizingatia serikali ya TZ isivyowathamini walimu tangu tupate uhuru mpaka sasa na wenye nacho wanazidi kujilimbikizia tu. Kaa kuna mtu anaona usawa huo unamfaa nikutimka tu, kila mtu anahitaji maisha mazuri na uwezo wa kuwapatia watoto wake elimu nzuri.

inabidi serikali yetu iwaulize wabotswana siri ya mafanikio. Sijui hawajifanyii self assessment au ndio umuch know.

Kwa kweli mwenye ndugu Tanzania mwenye sifa hizo na amshtue akajaribu bahati yake.
 
wanaotukwamisha sio kwamba hawajui wanachokifanya, si kwamba hawaelewi siri ya mafanikio ya Botswana. Wanaelewa sana na la kufanya ili tusonge mbele wanalo, ila hawawezi kufanya hivyo maana wanajali matumbo kwa kuona mbele ya pua zao tu. Wenyewe kwenye vijiwe vya utawasikia wakijisifu walivyo wanjanja lakini hawajui ama hawaangalii na ujinga wao ni kiasi gani. Fikra rahisi sana kwa upeo wangu, wangeweka mambo sawa kila mwananchi anyonye juisi kwa mrija kisha wao waendelee kukwiba. Nani angefuatilia wakati wote tumelewa mvinyo? Sasa kwa hali ilivyo haki ya Mungu tutakabana sana hapa Bongo, sasa wakipita tunazomea, itafikia mahala tutakuwa tunavizia mawaziri/wabunge ama viongozi kwa mishale maana hiyo haihitaji kibali cha tibaigana. Sijui, lakini...???
 
Wacheni waondoke tu maana hao mafisadi walio madarakani hawamjali yeyote bali matumbo yao. Tuna utajiri mkubwa ambao unawanufaisha mafisadi na wageni ambao mimi huwaita 'wachukuaji' maana haiwezekani wewe ukawa mwekezaji halafu ukachukua 99.99% ya mapato yote ya rasilimali zetu na bado ukastahili kuitwa mwekezaji
 
inabidi serikali yetu iwaulize wabotswana siri ya mafanikio. Sijui hawajifanyii self assessment au ndio umuch know.

Kwa kweli mwenye ndugu Tanzania mwenye sifa hizo na amshtue akajaribu bahati yake.

I surely do, hizo kazi zimetangazwa wapi au pa kufanyia maombi ya kazi ni wapi? anyone knows? I'll appreciate.
 
.....A Nairobi, Kenya based company, Productivity Management Associates, would do the search on behalf of the Botswana government.

I would be a little careful with this, especially when money is involved. Kama ni Serikali ya Botswana inahitaji watumishi hawa, wangepitisha ombi hili kwa taasisi au Wizara husika hapa Tanzania. Kutumia kampuni binafsi kuna matatizo yake.
 
itafikia mahala tutakuwa tunavizia mawaziri/wabunge ama viongozi kwa mishale maana hiyo haihitaji kibali cha tibaigana. Sijui, lakini...???

Hii ya kuwavizia kwa mishale na kumuondoa mmoja mmoja nimeikubali. Itawafanya wafanye kazi maana kama hutetei wananchi ujua utakuwa mkimbizi nchini kwako kwani ukionekana lose lose tu mshale, itabidi waajiri mabody guard wengi na hivyo itongeza ajira.
 
I would be a little careful with this, especially when money is involved. Kama ni Serikali ya Botswana inahitaji watumishi hawa, wangepitisha ombi hili kwa taasisi au Wizara husika hapa Tanzania. Kutumia kampuni binafsi kuna matatizo yake.

..kuna wizara au serikali ya tanzania itakayokuwa radhi kutoa/kuruhusu walimu kwenda nje kwasasa?
 
Maisha ni popote, yakishindikana Tanzania nenda Botswana, hapo jirani tu...si lazima Ulaya au Amerika. Chalenji kwa Serikali ya Tanzania, wafanyakazi wana maslahi mazuri nje kuliko ndani ya nchi.

Tanzania: 150 Teachers May Go South

The Citizen (Dar es Salaam)

10 July 2008
Posted to the web 10 July 2008

Beldina Nyakeke

The Botswana government is seeking to recruit about 150 science teachers and college tutors from Tanzania, with salary promises of between Sh14 and 24 million every year for the posts.

The Southern Africa country is also looking for about 30 engineers in various fields to fill positions within its public service with equally attractive earnings rising up to Sh36 million per year for successful candidates.

The salary packages will attract several qualified local teachers, especially within the public service, who are taking home monthly salaries of less than $400. Botswana is offering about $1,000 a month for the teachers, among other benefits.

According to an advertisement that appeared in The Citizen yesterday, the successful candidates would also be entitled to other expatriate benefits, including free furnished housing, free medical cover for the successful professionals and their families and free transport to and from their work stations.

A Nairobi, Kenya based company, Productivity Management Associates, would do the search on behalf of the Botswana government.

The country is one of the most stable economies in sub-Saharan Africa, attracting droves of professional workers from especially neighbouring countries.

Meanwhile, as a result of the ongoing education sector expansion programme and due, mainly to poor salaries and working conditions, Tanzania is grappling with a critical shortage of secondary school teachers.

And the lure of the dollar is likely to worsen the situation for the country, currently in need of more than 40,000 secondary school teachers alone.

Tanzania Teachers Union (TTU) president Gratian Mukoba said the few available science teachers were likely to take up the jobs in Botswana.

"The money the Botswana government is promising to pay a teacher every year is equal to the mount that the Tanzanian government pays a teacher who has worked for 32 years as pension," Mr Mukoba said. He added that teachers locally worked under "terrible conditions".

The government recently raised salaries for civil servants in a bid to retain those who are still within its service and attract new ones. However, competition from the private sector is still high.

The Minister for Education and Vocational Training, Prof Jumanne Maghembe yesterday refused to comment on the implications of the Botswana advertisement on the country's education sector, or on the ministry's expansion programme.

He said he had not heard of the search for Tanzanian teachers by the Botswana government.

But Mr Mukoba said no one could stop those qualified and interested from leaving since TTU had signed the Commonwealth teachers' protocol, which allows the teachers to look for jobs in any member state to earn a decent living.

In addition, he said the Tanzanian government owed teachers more than Sh20 billion in outstanding salaries.

He urged the government to improve the working conditions of teachers before the situation goes out of hand.

According to a research conducted by TTU recently, about 40 percent of local teachers showed they were ready to quit the profession to look for other jobs elsewhere.

Sounds very impressive, ila waangalie tuu maana ninavyowajua walimu wanavijitatizo vidogo vidogo ambavyo kila mwanadamu anavyo ingawa wenzetu nafikiri huwa wanafanya kama ukilema fulani, sasa chakuwaasa tuu watakaofanikiwa kwenda huko wakumbuke nyumbani maana Botswana hakufai hata kidogo ndani ya watu 3 basi 2 wana HIV.(HAYA NI MAONO YANGU NA USHAURI)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom