Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Longest is mothers love......shortest is others love.....deepest is lovers love......but strongest is friends love..... Hii imekaaje wadau.....iko sawa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi nina uchungu:- 1) chui, simba, duma (cheetah), na paka wa aina nyingine. kila wataalamu wa wanyama wanasema hawa wanyama ni "endangered species" katika dunia nzima. yako maeneo mengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF, sijui mnazichukuliaje hizi habari za mwanafunzi kujinyonga? Hisia zangu kwa kweli baada ya kusoma tu hii habari zilikuwa za masikitiko, na ni maombi yangu Mwenyezi Mungu Amlaze Pahala Pema...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Kumekuwepo na tabia ambazo hazifai katika jamii ya watanzania na wengi tunaangalia tu bila hata kujiuliza ni kwa nini. Kwanini mtu ajifikirie yeye ni muhimu kuliko mtu mwingine hasa katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A WOMAN has made history after discovering a ONE-LEGGED snake in her bedroom. Terrified Duan Qiongxiu jumped out of her skin when she came across the mutant reptile. Scientists are now...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwandishi wa habari wa Nipashe Thobiasi Mwanakatwe akitoka lock up akiwa ameshika viatu vyake alikaa masaa 2 jana baada ya kupinga unyanyaswaji wa kaimu mkuu wa usalama barabarani Mbeya Henry...
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Ndugu zangu maisha ya kila mwanadamu yana thamani kubwa hapa duniani. Kila mtu anapenda kuishi kwa kadiri Mungu alivyompangia maisha yake. Na kila mtu ana mchango wake katika muendelezo wa hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hey wana jamvini mwenye taarifa hizi atujulishe vema ni kweli? Na kama ni kweli itakuwa tunaelekea wapi hasa? Tafadhalini tuliangalie kwa ufasaha kama ni kweli
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau hii sijui imekaaje nimeiona kwenye lady jaydee blog kuna mtu alituma hii link...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kutoa malalamiko yangu kupitia tovuti hii makini naamini kuna wana Clouds watanifikishia ujumbe huu. Kuna ujumbe wanatuma kupitia simu ya kiganjani ambayo huwa imetoka Clouds kwanza...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Haya ndugu zangu, kuna huu mchezo unaoitwa Bongo Dar es salaam unaorushwa na TBC ambao main actor anaitwa Dude. Je, mchezo huu unafundisha au Unabomoa? Kwa nini? Binafsi naona unabomoa maadili...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna kitu kuhusu sisi watanzania,ambacho kwa maoni yangu kinaweza kuwa ni tatizo kubwa kuliko ufisadi,kwa mtazamo wangu hiki kitu kimechangia kuzaliwa kwa ufsadi,hiki kiti ni abusive culture...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tusiombe waingie Bongo Dozens of London-based Slovakians have been arrested in northern France after using Barclays bank cards to fraudulently withdraw more than £300,000 in cash. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Parastatals fleeced of $77m According to the central bank, the introduction of the new payment sytem has also led to efficiency in the collection of taxes, as all payments of a value of $4,000...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJF, Habari nilizozipata punde ni kuwa huko Uganda kuna maandamano makubwa ya Wabaganda kupinga Mfalme wao Mutebi kuzuiwa na serikali kutembelea maeneo ya waasi. Inasemekana maandamano hayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku Rais alijibu maswali Nilijaribu kupiga simu sikupata, sikupenda kutumia anuani ya yahoo hivyo sikutuma e-mail. Laiti ningepata nafasi nimeguswa sana na ninakerwa na usafiri kwa ujumla na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi haya niliyoyasikia asubuhi hii kwenye vichwa vya habari vya magazeti kuhusu mikopo ya elimu ya juu ni kweli?Kama ni kweli hivi hiyo bodi ya mikopo inataka wanafunzi wa nchi hii wakatafute...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Madaktari nchini China walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja, Kang Mengru, ambaye alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa, alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Rafiki zangu waliniomba niwasaidie kufikisha habari hii kwenu ili muichambue. Kumezuka tabia ya viongozi kulazimisha mapenzi kutoka kwa wafanyakazi wa kike, wakubwa hao wanaofahamika kwa majina...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
I never thought of this....... This lady has now changed her habit of how she lists her names on her mobile phone after her handbag was stolen. Her handbag, which contained her cell phone, credit...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom