Mh.Kabwe tumefurahi kuona hilo tabasamu pana.tunaamini uko tayari kuendeleza libeneke la kuwatetea wanyonge kokote walipo Tanzania bila kujali itikadi,dini wala rangi yao.
Nimeamini Dogo kisiki cha mpingo ila namshauri arudi kijiji akaongeze dozi kwa kuwa kama wameweza kumlaza kwa siku kadhaa hospitali sio dalili nzuri, ze kinga is weakening! wanaweza kurudi na dozi nene ndo ikawa ntolee!
Bongo ni bongo hapa miaka kumi tunaumwa mafua tu, sasa kijana wa miaka 32 kulazwa lazwa bongo ni bongo tu. Mara ya mwisho nimelazwa Tanzania kwa malaria kuanzia nije hapa 1997 sijalazwa. Bill Gates amesema Kampuni atakae tengeneza kinga ya Malaria itapata $1Billion na inasemakana kinga iko tayari kwenye majaribio labda itasaidia kupunguzwa kulazwa lazwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.