Kama tuonavyo muungano wa vyama vya upinzani umevalia njuga ubadhirifu wa fedha za walala hoi,kama ni kupotea kwa fedha nyingi kwa matumizi yasiyojulikana basi hata Bunge linakula fedha tena...
Sasa hivi meli za nnje haziendi Tena Tanzania kwasababu bandari ya Dar imejaa sana. Nilituma mzigo wangu ilibidi ukae Mauritius mwezi mmoja kabla haujafika huko. Tunabandari ya Mtwara lakini bado...
Ukaguzi wa kawaida wa ndani ulifanyika ukagundua kuna tatizo kubwa sana. Deloitte wakafanya ukaguzi wakagundua kuna tatizo kubwa zaidi na walipoanza kupiga kelele wakafukuzwa. CAG nayo ikaingilia...
PLEASE READ & PASS ON!
Israeli soldiers passing out candy to the kids
.
Making sure they get to school.
Helping Ladies across the street..
Providing...
I'm so pleased to see new developments at www.dailynews-tsn.com and its sister online paper HabariLeo. I think they deserve commending for their endeavors to improve access to information and the...
Wana JF, demokrasia ya Afrika sasa inashangaza sana. ANC wanapanga ku ivunjilia mbali taasisi bora kabisa barani Africa, katika uchunguzi, The Scorpions. Hii ni elites unit iliyoundwa miaka...
Hebu someni hapa na hii inatia wazimu kuwa kwa kuwa jeshi lina nguvu hivyo linaamua kuwafanyia watanzania wenzetu majaribio bila hata ya kupata vibali huu ni ufisadi wa hali ya juu.
Mbunge wa...
Habari hii niliyokutana nayo katika kutembea-tembea imenipa changamoto ya kujiuliza na kuuliza, Jee, uvumilivu wetu mpaka lini? Uvumilivu wa kupandishiwa gharama za maisha kila kukicha.
Tazama...
Adam Lusekelo
Daily News; Tuesday,February 12, 2008 @16:02
OKAY, everyone knew that we, I mean the people of Bongo, were being had in this Richmond rip-off. Chairman Harry Mwakyembe and his...
Independent.co.uk
How the spooks took over the news
In his controversial new book, Nick Davies argues that shadowy intelligence agencies are pumping out black propaganda to manipulate...
by Harumi Ozawa
Thu Feb 14, 1:20 AM ET
NAHA, Japan (AFP) - Japan's southern island of Okinawa on Thursday demanded the US military rein in the thousands of troops stationed there after a...
source:/ http://www.sikh-heritage.co.uk/heritage/sikhhert%20EAfrica/sikhsEAfrica.htm
There is a factual background as to why the whole of the Sikh Community is referred to by this unusual...
Taarifa kutoka Dodoma zinasema Baraza jipya la mawaziri litatangazwa muda wowote KESHO na si leo kama ilivyotarajiwa.
Ni hayo tu... Just for your information.
Invisible
....What about BoT's report? Would you make sure that Tanzania recovers $172 million that was paid to Richmond for nothing? What about the report from kamati ya madini? Would you be able to change...
UNICEF: Rape prevalent in African conflict
Rape spreading in countries suffering conflicts and natural disasters
Reuters
updated 5:45 p.m. ET, Wed., Feb. 13, 2008
GENEVA - Rape and sexual...
Invyoelekea ni kuwa Baraza letu la mawaziri litakuwa linachukua sura ya Raisi aliyepo madarakani.
Hivi hatuwezi kuwa na muundo wa kudumu wa baraza letu? Kama ndivyo chombo kipi kinastahili...
America's Most Miserable Cities
By Kurt Badenhausen, Forbes.com
Feb 11th, 2008
Imagine living in a city with the country's highest rate for violent crime and the second-highest unemployment...
Samahani kwa kupotea lakini mambo ambayo yametokea wiki iliyopita ni sehemu tu ya sababu hiyo. Binafsi na watu wengine ofisini tumekuwa na wakati mgumu, na sasa tunalazimka kuanza mahusiano na...