Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwakumbusha kuwa HIJJA rasmi inaanza kesho katika mji wa MAKKAH. Mahujaji watakuwa Minna na Muzdaliffa katika kufanikisha ibada yao hiyo adhim ya Hijja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana Kuna dala dala moja ya rafiki wangu wa karibu imekamatwa na maofisa wa TRA ikiwa imebeba abiria aliyekua na box la juice za magendo zenye dhamani ya Tshs 50,000. Gari hii inafanya safari zake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Engagement Ring The girl asked her lover, "Darling, if we get engaged will you give me a ring?" "Sure, “replied her lover "What's your phone number?"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
To my boss Darry I tire; I slave in the cubicle, bending all day To build; my career and take the firm all the way You seat, in that fancy desk, complaining all day Over the phone, company phone...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Authentic and unique You are unique. So think like it, act like it, and make the most of it. Breakthroughs do not come from following the crowd. You are capable of truly great achievements...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana ndugu....., habari zilizotufikia hivi punde lile sakata la kushushwa rubani wa airzahra Kushushwa na mamlaka ya TCAA sasa limepata ufumbuzi..pamoja n kuomba AIRZAHARA waje kutueleza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, tuko kwenye sherehe mahali isiyo na kilevi, maana kuna pia Walokole. Lakini kumetokea mzozo, maana waandaaji wameweka Kinywaji inaitwa Malta Guiness.KunaWalokole wanaosema kinywaji hiki...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"> </td>...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Introducing fingerprint checks at the border...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Birth of an Elephant live Actual birth of a Elephant at Safari Park, Taro, Bali on 9-9-2009 http://www.youtube.com/watch?v=llIv20mScP8 Londolozi http://www.youtube.com/watch?v=9uKRKumeEh4...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanjf kazi kwenu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanafunzi aliyesahauliwa na serikali afariki • Alitakiwa kwenda India tangu mwaka 2006 FAIDA Kyando (18), mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepata Msiba WanaJF Sipo 18th November 2009, 04:40 PM Rating: (1 votes - 5.00 average) Ndugu wana JF leo mchana nimepata msiba wa Babu yangu Mzaa Mama anayeishi huko Arusha. Huu msiba mzito...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Usinywe na uendeshe tukutuku be serious pulizi Tutumie breki za mbele na nyuma. TUMWIGE ZD
0 Reactions
105 Replies
8K Views
NILIJIITA WAZIRI MKUU KIDOGO WANIUE Mkuu wa nchi moja alikwenda kutembelea hospitali ya wagonjwa wa akili ili kujua maendeleo na huduma wazipatazo, siku hiyo wendawazimu wenye kichaa kikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fununu za mgomo c2c tv. Wafanyikazi C2C TV production wanajiandaa kufanya mgomo baada ya bodi kuamua kutowalipa mishahara mwezi huu kwa kuandika barua inayosema kuwa tv haiilipi kampuni. Pamoja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Make CAG report on the UBT public By Editor 26th November 2009 News that the government is now collecting 4m/- in revenue per day from the Ubungo Bus Terminal (UBT) compared to a paltry...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kumaliza degree yake ya sheria mlimani Bwana Rwegoshora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya kuhudumia clients(wateja) . Siku ya kwanza wakati ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jumamosi iliyopita, msafara wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ulilazimika kusimama njiani baada ya wakazi wa kijiji cha Mkunya wilayani Newala, mkoani Mtwara, kuziba njia wakiwa na mabango huku bango...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sasa Jeshi litakuwaje na uhuru kama linategemea misaada kutoka nje ya afrika? AU: Donors Slow in Paying Up for Somalia Security Filed at 10:45 a.m. ET NAIROBI, Kenya (AP) -- The African...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom