Genge la Zuma linavunja "The Scorpions," Afrika inaenda wapi?


M

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2007
Messages
801
Likes
39
Points
45
M

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2007
801 39 45
Wana JF, demokrasia ya Afrika sasa inashangaza sana. ANC wanapanga ku ivunjilia mbali taasisi bora kabisa barani Africa, katika uchunguzi, The Scorpions. Hii ni elites unit iliyoundwa miaka michache iliyopita kwa muundo wa USA's FBI, ikiwa na kazi ya kuchunguza rushwa kubwa kubwa na uhujumu uchumi mkubwa, kwa ujumla uhalifu mkubwa kabiusa unaoweza kufanywa na viongozi au magenge ya kimataifa.

Wanasiasa wa South Afrika sasa wanaiogopa kupita kiasi, na wanainvunjilia mbali. Hii ndiyo imejaribu sana kumshughulikia Zuma, Police Chief jack Selebi, na hata Bosi wao wenyewe in the past few weeks.

Madhara ya kuvunja hii unit na kuingiza katika idara ya polisi ni yepi?
 

Forum statistics

Threads 1,237,145
Members 475,462
Posts 29,279,525