Issue ya BOT ilitokea kipindi cha mkapa wakati yeye hakuwa waziri wa fedha?
Kwa nini JK hakumrudisha kwenye wizara yake kama Membe?na wengine?
Issue ya BOT ilitokea kipindi cha mkapa wakati yeye hakuwa waziri wa fedha?
Kwa nini JK hakumrudisha kwenye wizara yake kama Membe?na wengine?
Waliokosa wote na wengi wa waliopata kwa pamoja wameonewa kwa vile wale waliokosa walikuwa wamepewa majukumu yaliyop nje ya uwezo wao, na wengi wa waliopewa vile vile wamepewa majukumu yaliyo nje ya uwezo wao. Huo ni uoenvu mkubwa kwa watu hawa binafsi na kwa na raia wa jamhuri ya Tanzania wote.Issue ya BOT ilitokea kipindi cha mkapa wakati yeye hakuwa waziri wa fedha?
Kwa nini JK hakumrudisha kwenye wizara yake kama Membe?na wengine?
Zaidi atapangiwa sehemu nyingine..."Everything happens for a reason"
Zaidi atapangiwa sehemu nyingine...
hivi yule binti wake aliyekuwa anasoma AUSTRALIA keshaolewa?
Issue ya BOT ilitokea kipindi cha mkapa wakati yeye hakuwa waziri wa fedha?
Kwa nini JK hakumrudisha kwenye wizara yake kama Membe?na wengine?
Sawa sawa ndio maana hatorudi tena huko wizara ya Fedha, ila atapata tu kazi nyingineHivi kuna lazima gani ya kupangiwa kazi sehemu nyingine? Umeboronga kwa heri, kazi kwisha. Au?
Unamzungumzia Salama?
Kwa sababu SHE IS NOT COMPETENT IN THAT POSITION and at THIS TIME!
... Unataka kusema issue ya BOT ndio imechangia huyu mama kutokupewa uwaziri??? Ukiachilia hiyo issue ya BOT, kimsingi, huyu mama ni mbabaishaji na fisadi kama akina lowasa na karamagi. Isitoshe, huyu mama ni incompetent kama walivyosema wachangiaji hapo juu. Kwa kifupi, meghji anatakiwa kumpongeza kikwete kwa yeye kung'olewa hapa wizarani. Wizara, ya fedha inahitaji kichwa makini chenye ufahamu unaohusiana na masuala ya fedha na uchumi.