Sasa mmefurahi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa mmefurahi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bi. Senti 50, Feb 13, 2008.

 1. Bi. Senti 50

  Bi. Senti 50 JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2008
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 291
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Samahani kwa kupotea lakini mambo ambayo yametokea wiki iliyopita ni sehemu tu ya sababu hiyo. Binafsi na watu wengine ofisini tumekuwa na wakati mgumu, na sasa tunalazimka kuanza mahusiano na kiongozi mpya.

  Kuna watu waliokuwa wanataka sana Lowassa aondoke na kutumia magazeti na vijembe visivyo na msingi hilo limekuwa kweli. Hawa ndio waliosababisha hali ya wasiwasi nchini na mashaka kama alivyoeleza Rais leo.

  Binafsi nawauliza nyinyi mlioataka Lowassa aondolewa sasa mmefurahi? Ni nini kitawazuia kutotaka na kichwa cha Pinda au kiongozi mwingine yoyote? Hivi kuna kiongozi anayeweza kuwaridhisha? (Na hapa kuna mtu ambaye jina lake sitalitaja tena anayejifanya ni mzalendo kupita wote!).

  Nilikuwepo wakati wanamuombea mzee usiku ule baada ya kujiuzulu. Sijawahi kumuona akilengwa na machozi hadi siku ile. Very humbling.

  Haya nitawaona nikiwaona tena maana hatujui wengine tutaishia wapi.

  Asanteni.
   
 2. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280


  Swali lako linatia mashaka kidogo.

  Unamuuliza nani wanachama/ wageni wa hapa JF ama?
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Feb 13, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  eh! ndio yamekuwa haya. Sasa wewe mwenzetu hujafurahi?
   
 4. m

  mvumilivu Member

  #4
  Feb 13, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri hela zetu zirudishwe ndio tufurahi!!
   
 5. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Hata Mizengwe Pinda akipinda tutampindua, he will be judged by his performance. Kumkoma nyani giladi kutaendelea kama kawa- without fear or favour.
   
 6. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Pole bi 50cents,

  Pole kwa kushuhudia mzee mzima uliyekuwa unamuona kama the most ideal leader akianguka. Kitu kilichokufanya uone its humbling for him to cry was nothing rather than to prove that he is also human. We all are human, we always fail to see that and accept it. We accept that fact when we are in deep shit. Our reflex action is to cry.

  Uongozi ni dhamana, chezea dhamana poteza uongozi, kumbuka kischovunwa kwa haki kitapotea kwa haki so Lowasssa got what he deserved. Muombeeni apate nguvu za kuhimili mikikimikiki hii kabla hajapelekwa jela kama kweli haki itafuatwa TZ.

  Kwanza the guy was very rude and had no regard for anyone. Its a rude awakening for him. The tears you saw was his reckoning day awareness.

  Otherwise this should be a lesson to you, me and everyone kuwa kuna kupanda ngazi na kushuka ngazi utofauti ni kwamba ulipandaje hiyo ngazi kwa winchi, kwa mashine au kwa miguu yako maana kutremka kunaweza kwenda taratibu au ndio ukateleza kama mzee mzima ukajikuta huna chako.

  Mpe pole. He now has more time on his hands to be a grandfather and a father to his family.
   
 7. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kuna hizi nyumba ziko sehemu ambazo bei za nyumba ni mbaya sana yaani zinaanzia $950,000/=

  Hizi nyumba ziko
  SCOTTS VALLEY IN California,U.S.A
  SANTA CRUZ IN California.U.S.A
  KEY BISCAYNE IN Florida, U.S.A
  SLOANE SQUARE IN London,U.K.

  Sasa zinaweza zikawa ni za ordinary wabongo lakini huenda zikawa za mafisadi kwa sababu area hizo ni ghali mno.
   
 8. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..maisha ndivyo yalivyo. watu wanapoteza wazazi,watoto,n.k!

  ..baada ya hapo inabidi usonge mbele!

  ..mapenzi na uzalendo wa nchi yao ndio uliokuwa unawasukuma!

  ..aliyesababisha hali ya wasiwasi anafahamika,tena kama unaweza mwambia, mweleze "asijaribu tena",hatupendi kuwa kama kenya!

  ..mbona yashaisha hayo bibie. tusonge mbele!

  ..mwanguko wowote unatia huruma. believe me!

  ..usitupige fiksi. tanzania tamu! you should know better!
   
 9. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180

  ..mh!zinahusiana na hii topic nini? mwakyembe ana habari hii?
   
Loading...