Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sijui kama wenzagu huwa mnakumbuka hizi enzi? au kwa kuwa tulishapita huko basi imetoka...Lakini katika mambo ya zamani nikumbukayo ni siku ya kwanza nilipoanza darasa la kwanza shule ya msingi...
0 Reactions
17 Replies
20K Views
Wakuu sijui kama mlishazungumzia hili, hivi JF premium member haina kikomo? Je hamuoni ni bora kuhamasisha kwa kuweka time limits? mimi najitolea kwa member watano watakaotoa mchango JF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf(G.T).Hili swali la bandari limeniumiza sana kichwa, lakini bado sijapata jibu sahihi, nimewauliza watu wengi sana, wengine wameniambia Ilala wengine wameniambia Temeke, naomba...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Nilipokuwa nasoma habari mbalimbali GPL, nikakutana na mstari wenye utata kidogo!! Sijui hawa waandishi nao wana kopi na kupesti? Nanukuu.... "Jaji Kimaro na jopo lake akiahirisha kesi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu, kuna maswali huwa najiuliza lakini nakosa majibu!!. ni jinsi gani serikali ya awamu ya 4 ina practise utawala bora? na je ni zipi faida na hasara za utawala bora ambazo hadi leo hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia leo - Jumatatu - (saa tatu na robo hivi) nilifungua Radio Station moja ya Kiislamu hapa Tanzania na kusikiliza mahubiri yaliyonisikitisha sana. Mhubiri/mwalimu (sheikh mmoja au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hapa pana moshi baada ya kinguge wa tanesco kutangaza kujiondoa na nafasi ya kingunge wa dawasco imetangazwa kimya kimya kuna nini kwenye haya makampuni makubwa ;;?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mama wa mirembe aja na mpya MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sophia Simba, amevijia juu vyombo vya habari akidai kwamba vinatumiwa vibaya kumchonganisha yeye na wana CCM wenzake ili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Recently at the KQ office in Dar, I met a fellow traveler, whom we had a discussion on the impact of the influx of Asians in TZ. Needless to say, we were both on the same wavelength; they are...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani kuna vitu vinaendelea kutengenezwa na kuwaumiza wananchi kila siku sasa tumeamua kuuliza je hii ndio miradi aliosema kikwete ya ccm 2010 ama ...mbona wana speed na hakuna viongozi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jeshi la polisi nchini limesema kwamba Kamishna Abdalah Zombe bado ni mtumishi wake ila amelazimika kuomba kustaafu kutokana na mazingira ya kesi iliyomkabili na kwamba anasubiri majibu kutoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nakerwa sana na wafanyakazi wa vivuko hivi kwa kutumia lugha ya kiswahili vibaya. Ni kawaida pantoni inapofika upande wa upili usikie matangazo ya kufika na yanayotoa tahadhari kwa abiria. Maneno...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
These are not just movies and entertainment. Kuna kitu cha ziada. Wanafikiria nini wanaoandaa mpango mzima? Wanawezaje kuwaandaa mamia ya watu vile?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu, kuna maswali huwa najiuliza lakini nakosa majibu!!. ni jinsi gani serikali ya awamu ya 4 ina practise utawala bora? na je ni zipi faida na hasara za utawala bora ambazo hadi leo hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nilikuwa na safari ya kwenda airport nikitokea nyumbani maeneo ya mikocheni. Nilitoka nyumbani saa 8 mchana, nikapitia Ali Hassan-Bibi titi-Nyerere road. Kuanzia mjini niliona askari wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Its 48 years of Independence. Unfortunately most of youths are not free in their mind! We nowdays thinkof harversting without raising crops "MAFISADI" Let's unleash our thoughtsand make...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mmh jamani hii kampuni tunaipenda sana lakini hizi nauli tuwe wazi inabidi wapunguze....ni kweli kila mtu anaitaji kupanda lakini isiwe tabaka fulani tu kwamba wenye pesa zao ndio wanapanda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BOMOABOMOA kubwa na ya muda mrefu inatarajiwa kufanyika katika maeneo mengi ya miji na vituo vikuu vya biashara nchini ambapo serikali itachukua viwanja, nyumba, mashamba ya watu na kuwafidia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
08 December 2009 Na Yusuph Mussa Same, KILIMANJARO BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Goha, Kata ya Myamba wilayani Same, Kilimanjaro, wamekimbilia katika nyumba aliyofikia Mbunge wa Same Mashariki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi wanafunzi wa primary/secondary skuli wanaweza kuingia darasani wangali wajawazito? badala ya kufukuzwa kama ilivyosasa,kwani ni haki yao ya msingi kupata elimu. Vijana wengi walio katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom