Naomba msaada wa tafsiri wa maneno kwenye video hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa tafsiri wa maneno kwenye video hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Watanzania, Mar 19, 2010.

 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mods naomba muiache kwa muda video hii, nimeipenda sana lakini sijui maneno yanayosemwa. Baadaye muipeleke panapohusika tafsiri ikishapatikana, asante. Huyu mama anamwambia nini mwanaume kwenye hii video?. Na ni lugha gani anayotumia? Nimetumia jukwaa hili kwa vile nina imani nitapata msaada mapema.
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=0KyM03QLDjU"]YouTube- Tshala Muana- Kalume[/ame]
   
Loading...