Kwa taarifa tu, mimi naunga mkono uraia wa nchi mbili kwa sababu faida za uraia wa nchi mbili especially kwa Watanzania waliohamia nchi za nje na watoto wao ili kutafuta maslahi zaidi ya kimaisha...
Real-life laser weapons aren't here, yet. But they're getting closer. Which is why the Air Force is starting to look for ways to laser-proof its bombs and missiles -- with spray-on coatings, no...
Kwenye gazeti la RAI la July 31 - AGOSTI 6, ukurasa wa 4 kuna habari inayoelekea kuandikwa na mwanajamii mwenzetu Yona Fares Maro yenye kichwa kinachosomeka "Waraka wa Yona kwa Watanzania"...
niko hapa jirani na jengo la mkuu wa mkoa, naona na kusikia wanafunzi wakiandama kupinga nauli ya mia
wanaimba nyimbo za kumpondea kandolo
naona na wengine wamechukuliwa na defender ya polisi...
Oh! My God!
http://news.bbc.co.uk/1/hi/sci/tech/7536499.stm
Man decapitated on Canadian bus
BBC News Online
Police say they do not know what may have provoked the attack
A man on a...
Hivi, Wana-wa-Adam kwa kawaida huwa tunaogopa Kufa au Kutangulia na kuwaacha watu walioko kwenye circle zetu?
Imagine - ukigundua kuwa siku utakayokufa, watu wote kwenye circle yako (ndugu...
Mwanajeshi Dar adaiwa kumuua mkewe kwa kummiminia risasi
2008-07-29 20:47:01
Na Mwanaidi Swedi, Kinondoni
Askari wa Jeshi la Wananchi Kambi ya Lugalo, anadaiwa kumuua mkewe kwa kummiminia...
Mafisadi watashinda, lakini
Padri Privatus Karugendo Julai 30, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
VITA ya kupambana na mafisadi wa nchi ilianzia mbali, watu wengi wameshiriki vita...
Botswana in a froth over beer
Letlhogile Lucas
BBC News, Gabarone
Botswana's cabinet is expected to approve a drastic increase in the price of beer - a staggering 70% - when it meets...
Mshindwe wenyewe,
Kwa wale wanaodhamiria kuwa wajasiriamali. Kuna ideas nyingi zimetolewa na jamaa wengi, mfano Y Combinator ambao pia wanatoa-funding.
When we read Y Combinator applications...
July 31, 2008
Karadzic Arrives in Hague for Trial Despite Violent Protest by Loyalists
By MARLISE SIMONS and DAN BILEFSKY
THE HAGUE Long one of the most-wanted fugitives in the world, Radovan...
Sen. Stevens indicted: 7 false statements counts
Sen. Ted Stevens, the longest-serving Republican senator and a figure in Alaska politics since before statehood, was indicted Tuesday on...
Prediction of the coming Disasters
Mr. Juseleeno, born in 1960 (reportedly still alive in 2008), is a
Brazilian who has made many predictions, and MOST have come to pass,
including...
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ametoboa siri nzito ya Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, jinsi alivyomteua mara mbili kuwa waziri mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na kuwa waziri mkuu...
Ni jambo la kusikitisha kwa timu kubwa kama Yanga kutofika uwanjani na kuwaonyesha wananchi burudani. Ninawiwa kusema kwa utaratibu huo hatutafika.
Mimi si mpenzi sana wa mpira. Ila ninapoona...
Kevin Carter's Work, 1994.
.... and Masoud's (adaptation) work below:
Cartoon by Kipanya. Courtesy of: haki-hakingowi.blogspot.com
.... i would've otherwise called it a 'spoof', but i think...
Nitakwenda na kuileta ile hotuba ya Mbeki pale mlimani alipoweka wazi kuwa matatizo ya Afrika yanasababishwa na wale wenye ELIMU!
Kauli ya MBEKI ni NZITO na ya kutafakari kwani alipoitowa pale...
Makachero walaaniwa bungeni kwa uvamizi ofisi za Gazeti Mwanahalisi
*Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu alipuliwa
*Ambiwa hana tija, upinzani wataka nafasi ifutwe
Na Ramadhan Semtawa, Dodoma...
Wahamiaji wavamia Mvomero kusaka dhahabu
Mwandishi Wetu, Mvomero
Daily News; Monday,July 28, 2008 @20:13
Raia wa kigeni wameingia kwa wingi kinyemela katika milima ya vijiji vya Wilaya ya...