Wakuu ninaomba kuelimishwa kwa wale ambao wanajua zaidi, tofauti iliyopo katika uvaaji kofia kwa wanajeshi.Kwa mfano wakati wa mazishi ya Mzee Kawawa, kuna wanajeshi waliokuwa wana kofia za kijani...
Policeman suspended from duty after sex in church
Published: 4 Jan 10 14:35 CET
A Bavarian police officer has been suspended from duty after he was caught ringing in the New Year with a...
Habari za Uhakika toka Mwanza zinasema Mv.Butiama ikiwa abiria kutoka Mwanza kwenda Ukerewe imezimika katikati ya Ziwa Victoria na yapata masaa 4 sasa hakuna msaada . Naambiwa watu wameanza kusali...
sijui waliochimba kaburi walikuwa kina nani labda kwa sababu sikuangalia tangu mwanzo, lakini niliwaona JKT wakifukia kaburi halafu JWTZ wakatwanga Mizinga, Vipi Polisi mbona hawakushiriki zaidi...
ivi jamani wana JF vile vyandarua vya Bush vimefikia wapi ? ni watu wangapi so far wamefaidika navyo ?(wamegaiwa).
ni idara gani ya serilkali inahusika na swala zima lu ugawaji na usimamizi wake...
NB: Taarifa yote inapatikana katika PDF Format iliyoambatanishwa.
Kumbumbukumbu na Maazimio ya Kongamano
Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009
Mada...
Meli iliyokuwa inatoka Mwanza kwenda Ukerewe imekkwama kwenye tope Ziwa Victoria.
Meli hiyo inasadikiwa kuwa na watu zaidi ya 250
Hakuna juhudi zozote zinazochukuliwa na wahusika kuokoa maisha ya...
Happy new year
Sio mpenzi wa miziki ya kizazi kipya, ila katika pitapita yangu kwenye utube nikakutana na miziki ya kizazi kipya na nikawa nasoma comment
wanamuziki wengi wa Tanzania...
Ukiangalia mikono na uso utajua kuwa huyu bibie anataka kuwa mwarabu zaidi kuliko mwafrika!Jamani kwa nini mabibie wetu wasiwe proud na rangi zao,kuliko kujichubua na kuwa na light skin?
Kwa watanzania walio wengi tumekuwa hatuna utamaduni wa kujiwekea malengo na kufuatilia utekelezaji wa malengo yetu. Inapendeza sana kama mtu anajipangia mambo anayotaka kuyatimiza ndani ya muda...
Ndugu umewahi kukaa na kujiuliza Mtanzania wa kawaida anayefanyakazi Serikalini na baadhi ya sekta binafsi ana pumzika siku ngapi kwa mwaka ? Umewahi kuhesabu kuna sikukuu ngapi zinazotambuliwa na...
Waheshimiwa sisi ni majirani wa mh aliekuwa mbunge mtarajiwa wa mbeya
kama si chaguo za ccm;
mh general wetu ana nyumba nzuri na ukumbi mkubwa tu kwa heshima ya mwenyezi mungu naomba nimponge...
Children who are smacked when young are more likely to be successful, study finds
Last updated at 1:39 PM on 03rd January 2010
Disciplined: Children who have been physically...
Inawezekana suala hili limesha ongelewa humu jamvini, mniwie radhi kama ninalirudia katika namna ya kuwarudisha nyuma. Siku zote nimekuwa na wazo la kuunganisha nguvu za kuweza kusaidia kutatua...
Watazamaji wa mbio za magari za Dakar huko nchini Argentina wameparamiwa na gari na kusababisha kifo. Hii ni kama iliyotokea kule morogoro maeneo ya mikese na kuua watoto 4. Soma zaidi kwenye link...
JF BEING USED BY JEWS TO CONDEMN IRAN!!!
Tanzania has nothing to do with Irans internal affairs
Our cooperation is based on mutual respect
Lets not interfere in Irans...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.