Yona Fares Maro ndani ya RAI

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
189
Kwenye gazeti la RAI la July 31 - AGOSTI 6, ukurasa wa 4 kuna habari inayoelekea kuandikwa na mwanajamii mwenzetu Yona Fares Maro yenye kichwa kinachosomeka "Waraka wa Yona kwa Watanzania".


Bwana Yona, naomba ukanushe ikiwa waraka huu haukuandikwa na wewe. Unaweza kumtumia message moderator aweke hapa kwa niaba yako.

Baada ya kuona mwenendo wa magazeti yetu hapa nyumbani, nimeamua kuwa mwangalifu zaidi. Ni jambo la kusikitisha kuona upotoshwaji wa makusudi kwenye magazeti mengi nchini.

Asante.


Btw, imesemwa kwamba waraka huo utaendelea toleo lijalo.
Majina yote matatu yameandikwa mwisho wa waraka huo, yaani "Yona Fares Maro"..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom