Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 124
Hivi, Wana-wa-Adam kwa kawaida huwa tunaogopa Kufa au Kutangulia na kuwaacha watu walioko kwenye circle zetu?
Imagine - ukigundua kuwa siku utakayokufa, watu wote kwenye circle yako (ndugu, jamaa, marafiki, idols na mpaka maadui zako) nao watakufa siku hiyo hiyo. Si hivyo tu, bali hata mali zako (nyumba, gari, viwalo, paka, mbwa, ngombe n.k) navyo vitakongoroka siku hiyo hiyo. Je bado utaogopa Kufa?