Mafisadi Kuchapwa Viboko Uwanja Wa Taifa.

rutashobya

Member
May 2, 2008
6
0
Kwa kuwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere alichukia sana rushwa na ufisadi, na kwa kuwa mafisadi hawa walijua wazi msimamo huo wa mwalimu na wamefanya ufisadi huu baada ya kifo cha mwalimu, na kwa kuwa siku zote wamekuwa wakituadaa kwamba wanamuenzi mwalimu, na kwa kuwa wanajua ilikuwepo sheria ya kuwachapa viboko mtoaji na mpokeaji rushwa enzi za TANU, NA KWA KUWA WATANZANIA TUMEJIWEKEA SIKU YA KUMBUKUMBUKA YA BABA WA TAIFA KILA TAREHE 14/10.

JE, KWANINI KUMBUKUMBU ZA MWAKA HUU TUSIADHIMISHE KWA KUWAKUSANYA MAFISADI WOTE PALE UWANJA WA TAIFA, NA KILA FISADI ACHAPWE VIBOKO 12 MBELE YA HADHARA KABLA YA KUPELEKWA JELA???? (MAANA TUNAWAJUA, BM, EL, EC, NK, IM, RA, BMr n.k)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom