Kikwete ukimya huu kuteua mbadala wa vijisenti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ukimya huu kuteua mbadala wa vijisenti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Silas A.K, May 5, 2008.

 1. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  nashindwa kufahamu nini kimemsibu JK mbona hatoi jina la mbadala wa Andrea Chenge'vijisenti',au anaandaa major reshuffle miezi miwili tu baada ya kufanya mabadiliko yale yaliwaondoa baadhi ya mafisadi kama Kingunge,Mungai na Ngasongwa.Kuna mwana JF yoyote mwenye kufahamu kulikoni jikoni huko kwa mzee JK?
   
 2. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama anapata kigugumizi kupata mbadala wa mzee wa vijisenti nipigie pande mimi naweza kuwakilisha timu ya JF bila ya matatizo angalau nikakamilishe ile ndoto ya pombe wa makufuri kusepa kwa corola Nanyumbu mpaka Kanyigo..Huenda vijisenti hakuwa na muda wa kufatilia hilo alikuwa anajikusanyia kwanza ka-potion kake!!!Kwi! kwi! kwi!
   
 3. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2008
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Anafikilia Fisadi lingine la kumpa ulaji hapo
  Hana jipya huyo, yeye ni mtu wa kukosea tu kila mara na viongozi wake
  hata akaa kimya mwaka, akiibuka anakuja na makosa kama kawaida yake

  Pole sana Kikwete, uliyataka mwenyewe, sasa ndio wajibu wako huo
   
 4. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hivi hamjamjua "Baba Ajizi" bado?

  JK anaweza kuwa anaumwa na mbu akajishauri wiki nzima amfukuze au asimfukuze.

  Huko Wizarani force imepunguka kwa kukosa Waziri for days going on weeks now.
   
 5. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2008
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Woga Unakuja Pale Lawyer Wa 50cent Aliposem Atalipua Mabom Sasa Mugwana Lazima Awe Makini Ku Vent Watu Wake Wa Mtandao,jama Hili Liwe Fundisho La Kuwekwa Na Watu Kwa Masilahi Yao. Yani Ra King Maker
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  hivi si kuna mtu humu alisema kuwa EL ndo atapewa nafasi hiyo?
   
 7. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2008
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha 50 cents, i like that one. But kweli kuna mtu huku alisema Lowassa atarudi
   
 8. M

  Mutu JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Anapiga ramli ,ila akichagua kwa uswahiba linakua koroma chingine.
  Kwani wakina Kingunge,Mungai JK aliposema wameomba wasiwepo tena alikuwa akidanganya au kulikuwa na namna!
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,194
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  Mungu Atujaie Watanzania Usishangae Akampa Uwaziri Kamili
  Firauni Makongoro Na Kuteuya Naibu Waliogaiana Mademuwa Kiwa Secondary..huyu Fadhila Ndizo Zinamuua Sasahivi Aangali Nani Anafaa Anatoa Nani Alinisaidia Kazi Mnayo
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,158
  Likes Received: 4,016
  Trophy Points: 280
  Fadhila fadhila fadhila....sasa anabanwa sana na wafadhili inabidi awe makini sana sana...kweli aliemwambia ukiwa pale Ikulu.."inabidi uwe na subira sana"amempa maana tofauti yeye subira anaiona ni kuwa kimya na kuchelewesha kila jambo bila sababu ya msingi........kazi ipooo....
   
 11. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Subirini ngoma iko bagamoyo mlingotini inafanyiwa kazi it will be out very soon huenda amestuka anaogopa asilambe garasa tena!!!! Sijui muungwana kama shinikizo lake la damu bado liko normal.. i doubt!!!
   
 12. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,506
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wameombwa CV zao na watu wa Ikulu,sitaki kuwaharibia..ila habarindiyo hiyo.tusubiri tuone
   
 13. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2008
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Sasa Jk Ana fanya kazi!! huku akifikiri hatima ya utawala wake!!....Hakuna kibaya ...Yote yanakuja na kupita!! Usiamini hovyo!!

  Muda ukufika ata mteua...
   
Loading...