Wana JF
Jamani nimeulizwa na msafiri mtarajiwa kuhusu swala la uzito wa 'checked in' na 'hand laggage' kwa flights za British Airways. Hii ni kwa sababu kwenye website ya BA kuna maelezo ambayo yanachanganya. Kwanza wanasema uzito wa checked in laggage ni 23kg, lakini unaweza kuruhusiwa kubeba 32kg (uzito wa zamani). Simu zao za customer service ndio kabisa hamna majibu. Je hayo yaliyoandikwa kwenye website ndio ya kutarajia wakati wa ku-check in? Kama kuna yoyote amesafiri na BA siku za karibuni (toka Europe kwenda Africa) anaweza kutowa experience yake kwa hili swala tafadhali! Hii ni kupata taarifa latest kwa sababu kuna mabadiliko ya mara kwa mara kwa hili swala.