Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,661
jamani kuna mtu anatokea LINDI kwa kina salma ameniambia kuwa mama salma kikwete na hawa ghasia ni ndugu ....yaani mtu na dada yake au kitu kama hicho..
nikajiuliza pamoja na kuwa si kosa ndugu mwenye uwezo kupewa mamlaka tu kwa sababu ya nasaba..na mifano ipo...,lakini kwa nini kama hawa wawili ni ndugu...uhusiano wao usiwekwe wazi jamii ikajua ...ili iweze kumpa hawa ghasia fursa ya kuangalia utendaji wake kama yeye na si kwa sababu ni dada au mdogo wake na mke wa rais????