Tisheti

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
541
Nauliza hivi
mimi nikiona picha nyingi za uwanja wa taifa watu wengi waliohudhuria wamevaa tisheti zenye ujumbe husika wa siku hiyo, hata rais na wageni rasmi wanavaa hizo hizo,
je ni wafanyakazi wa idara/wizara husika ndio wanapewa?
ina maana kuwa 80% ya wanaohudhuria ni wafanyakazi wa serikali?
je zinapatikana wapi hizo tisheti kwa mtu mwingine kama mimi?
zinauzwa au zinagaiwa?
je wafanyakazi hao wanalipwa ovataimu wakienda huko?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom