JWTZ kupewa hati safi ya ukaguzi, maajabu!

JWTZ kupewa hati safi ya ukaguzi, maajabu!

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Waungwa nimesikia kuwa JWTZ imekuwa likipokea hati safi za Ukaguzi wa mahesabu toka kwa ofisi ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa siku nyingi pamoja na mambo na kashfa kibao.
 
Mkaguzi alipata nafasi ya kupitia meremeta??????? Labda apewe copy ya ile ripoti aisome kwa makini, uangalifu na uadilifu
 
hii ndo TZ sanaa tupu.JWTZ toka lini mahesabuyao yako clean..aghhhhhhhhhhhhhhhh
 
Nyie mnahoji masuala ya JESHI! lol!
Hamjui ni mambo ya ulinzi wa nchi? Hamuoni kuwa hata mkaguzi ameamua yaishe kwa kuwapa hati hiyo safi? Liacheni jeshi letu bana, mambo ya siri hayo tehe tehe teee!
 
Waungwa nimesikia kuwa JWTZ imekuwa likipokea hati safi za Ukaguzi wa mahesabu toka kwa ofisi ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa siku nyingi pamoja na mambo na kashfa kibao.

Hati safi kwa JWTZ ni lazima na muhimu sana kwa usalama wa Taifa na viongozi waliopo madarakani, kwani nchi yetu ina amani, hawajapindua nchi wala kufikiria hilo. Ni pale tu watakaposhindwa kuwa na nidhamu na kutaka kuongoza nchi wao ndiyo wanakapostahili hati chafu.

Kwanza hata budget ya jeshi haipo open to Public sasa, utawapaje hati chafu wakati hujui wanatakiwa kutumia kiasi gani. Waacheni wanajeshi watulinde kwani hawajaonesha ushabiki wa Chama kama Polisi. Hati chafu wanapeana wao kwa wao ndani ya jeshi, ukikutwa na ufisadi unashughulikiwa kwa kunyofolewa vijiwe au kuondolewa sehemu ya ulaji. Tukitaka kuchokonoa nyuki kwenye mzinga wao tuanze kuwaandama hawa jamaa wanaotutunzia risasi, mabomu, virafu, ndege na mizinga yetu ili maadui waogope kutuchachafya.

"ILA WAKUBWA WAO NI MAFISADI TU AAAAH"
 
Jeshini ndipo wakubwa wanapoficha ufisadi wao.
 
lakini mbona serikali mjini washington huwa inapeleka bajeti ya jeshi bungeni??
 
Back
Top Bottom