Fedha bandia NMB bukoba

Fedha bandia NMB bukoba

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Mwenye uhakika atujuze,kwamba bank ya makabwela kupitia wafanyakazi wake wasio waaminifu wamekuwa wakipokea pesa bandia kutoka kwa watu wanaozitengeneza/sambaza na kuziingiza kwenye mzunguko wa kawaida hata kwenye ATM pale wanapopewa chochote (pesa).Kwamba ukiwa na milioni 20 bandia anakupa 10m pesa halisi.MCHEZO HUU ULIKUWEPO MIEZI 3 ILIYOPITA NA INASEMEKANA WALISHTUKIWA (BENK) baada ya taasisi moja kwenda kuchukua pesa za mishahara ya wafanyakazi wake na wakapewa pesa hizo bandia
 
wakamatwe hao haraka, kwani branch haina mkaguzi??
 
wakamatwe hao haraka, kwani branch haina mkaguzi??

Daytime theft!

Mkono mrefu wa serikali na uwafikie hawa washenzi wanaotumia jasho la watanzania wengine kujitajirisha.
 
Duh.. yaani Tanzania ndio inaishia hivyo.. hivi ni kwanini siku hizi watu wanafanya vitu vya ajabu sana makazini tena hata bila uoga wowote?
Hii nchi ilipo na inapoelekea sio kabisa
 
Back
Top Bottom