Ibaada maalum ya kutoa pepo wachafu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,822
habari za asubuhi ndugu zanguni?
jana nilihudhuria ibada kwenye kanisa moja la kiroho lenye jina la kiingereza (kizungu)
ukafika muda ule wa kupokea miujiza yetu, mara wenye mapepo wakaanza kucharuka,
pepo moja likaleta machachari ya hali ya juu,
mchungaji akakemea kama kwa dakika kumi huku akijibishana na hilo pepo,
mchungaji akaona pepo linamletea gozigozi,
akkanza kuliambia wee pepo **** kabisa ,
mi nakujua kuwa wewe ni bwabwa tu,
huna lolote,
nakuamuru toka sasa hivi kabla sijakuangushia timbili la asha ngedere,
mchungaji akaendelea kuporomosha matusi,
mwishowe tukasikia pepo likisema nakwenda,
sirudiii,
watu gani mnamatusi kuliko sisi tuliyoasisi matusi!!!!
sirudii tena kuwafuata waumini wa hili kanisa,
ilibaki kidogo nizimie kwa huo muujiza wa mbinu mpya za kutoa mapepo.
 
Hii hadith kakufundisha nani na amekwambia ina maana gani?

Mkuu it could be better you live up this motto of yours in this issue
"if i don't reply ur post, chances are, you are in my list, i mean IGNORE LIST, he he he.."
 
maneno mbofu mbofu.....mwisho wa yote lengo lilitimia alafu we unasema hauendi tena ibilisi alikiri na kuamua kuondoka kwa jina la yesu.....We ukiamua kuondoka unamaanisha ulikuwa pamoja na huyo jini hivyo umeshindwa.........kuna uongo mzuri na mbya ndio maana wachungaji na masheikh huwa wanatoa mifano mbalimbali ya kusisimua ili tu neno liweze kuwaingia hata kama mfano unaotolewa si kitu kilichotokea kabisa ila lengo mahususi lina kuwa limetimia.....ni ushamba kuamua kuacha kwenda kanisani eti kwa sababu ibilisi amekimbia matusi ya mchungaji.............AFADHARI KUJUA KIDOGO......KUTOKUJUA KABISA NI HASARA KUBWA SANA MAISHANI.
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=l10ThwxVc0c"]http://www.youtube.com/watch?v=l10ThwxVc0c[/ame]
 
habari za asubuhi ndugu zanguni?
jana nilihudhuria ibada kwenye kanisa moja la kiroho lenye jina la kiingereza (kizungu)
ukafika muda ule wa kupokea miujiza yetu, mara wenye mapepo wakaanza kucharuka,
pepo moja likaleta machachari ya hali ya juu,
mchungaji akakemea kama kwa dakika kumi huku akijibishana na hilo pepo,
mchungaji akaona pepo linamletea gozigozi,
akkanza kuliambia wee pepo **** kabisa ,
mi nakujua kuwa wewe ni bwabwa tu,
huna lolote,
nakuamuru toka sasa hivi kabla sijakuangushia timbili la asha ngedere,
mchungaji akaendelea kuporomosha matusi,
mwishowe tukasikia pepo likisema nakwenda,
sirudiii,
watu gani mnamatusi kuliko sisi tuliyoasisi matusi!!!!
sirudii tena kuwafuata waumini wa hili kanisa,
ilibaki kidogo nizimie kwa huo muujiza wa mbinu mpya za kutoa mapepo.

jamani cku hizi makanisa yamezidi sana.....tuwe tunamuomba mungu atuongoze makanisa ya kweli maana mtu utajikuta umeingia kanisa la mashetani ndo utajuta mandumbwana yatakayo kupata
 
Back
Top Bottom