Sex worker turns out to be client’s girlfriend

Sex worker turns out to be client’s girlfriend

Bao3

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
318
Reaction score
29
KAMPALA-Patrons at a hotel in Bakuli, Kampala were last Monday amused when a sex worker turned out to be the client’s girlfriend.

Kakooza, a student at Mbarara University, was in Kampala for a workshop. He said his girlfriend, a student at Makerere University, told him she was with her parents.

When Kakooza asked for a prostitute, the attendant brought him a lady whom he identified as Hellen. Kakooza was in shock and said the lady was his girlfriend and Hellen was not her real name.

When she realised that Kakooza was the client, she fled. source: New Vision.
 
Hapo ndipo Profesa Jay anakwambia aliyeuza cheni bandia kapewa pesa bandia, akili kumkichwa!
 
Duh, hiyo kali. Angemuuzia tu, labda ikiwa kwenye soko inakua tofauti.
 
Haahaa sio mchezo. Dunia ina mambo hii. Ndo maana mara nyingine tunakubali yaishe.
 
Haahaa sio mchezo. Dunia ina mambo hii. Ndo maana mara nyingine tunakubali yaishe.


Mhh...!

Hii ni kali ya mwaka!Wengi tu mnafanyiwa hii mambo huko mtaani bana !

Labda ingekuwa ishu yote ifanyikie gizani, ndo jamaa angepiga full mchezo na kuachana nae, na wala si yeyote kati yao angestuka! Hizi taa nazo bana! lol!
 
yapo haya wadau si mmeona juzi kati hapo kwenye hizi massage parlour wamefumwa wake za watu huko wanaburudisha waume za watu? Ngoma droo wake wale wale wa watu wanaenda kudurudisha waume za watu. in maana baba anaenda kula nyumba ndogo au anasema niko baa na mshkaji tunapiga story au nacheki mpira kumbe yupo kwa kimada na MAMSAP naye kumbe wewe ukiwa JOB na yeye anasema nakwenda saluni kumbe anafanya kazi massage parlour kuburudisha wanaume wenzio kwa mshiko kidogo So mule mule wewe unauza cheni bandia mwenzio ananunua na pesa feki HAHAHHAHAHA
 
Back
Top Bottom