Jamani naomba kuuliza..wenzetu ambao hujifunza kuendesha gari,utakuta alama ya (L) imebandikwa kwenye gari ikiwa na maana ya lena! sasa tukija kwa wale wanaojifunza kuendesha ndege,meli au...
Jameni, mkuu wa kaya JK anasema safari zake za nje hazina mbadala? je ni kweli kuwa bila hizi safari za nje Tanzania kama taifa haliwezi kuendelea? je ni kweli kama taifa tunafaidika na hizi...
Jamani nimeeenda kuibua fitna sehemu na wazungu sasa kadri muda unavyozidi kwenda jamaa wana zero in na najua itafika muda ntakuwa siwezi kupumua hivyo nimeomba recess ili niite mamluki na...
Tamko hili kurugenzi ya mambo ya Nje tulilitoa jana, maudhui yake bado yanastahili kujadiliwa katika muktadha wa Kauli za jana hiyo hiyo zilizotolewa na Profesa Lipumba na IGP Mwema kuhusu suala...
Tangazo linalorushwa katika runinga, hasa TBC1 silipendi kabisa. Hivi hii dhana ya wanawake kujiona kama wananyimwa haki inatoka wapi? Nionavyo mimi, kuna baadhi ya wanawake ambao wanashindwa...
Habari za kuaminika na lizozipata kutoka Kyela! jana kuanzia majira ya saa mbili usiku kumetokea mfurulizo wa temeko la ardhi na kuwasababishia wasiwasi mkubwa wakazi hao! hivi punde baadhi ya...
Sijui kama wenzagu huwa mnakumbuka hizi enzi? au kwa kuwa tulishapita huko basi imetoka...Lakini katika mambo ya zamani nikumbukayo ni siku ya kwanza nilipoanza darasa la kwanza shule ya msingi...
Wakuu sijui kama mlishazungumzia hili, hivi JF premium member haina kikomo? Je hamuoni ni bora kuhamasisha kwa kuweka time limits?
mimi najitolea kwa member watano watakaotoa mchango JF...
Habari zenu wana jf(G.T).Hili swali la bandari limeniumiza sana kichwa, lakini bado sijapata jibu sahihi, nimewauliza watu wengi sana, wengine wameniambia Ilala wengine wameniambia Temeke, naomba...
Nilipokuwa nasoma habari mbalimbali GPL, nikakutana na mstari wenye utata kidogo!! Sijui hawa waandishi nao wana kopi na kupesti?
Nanukuu....
"Jaji Kimaro na jopo lake akiahirisha kesi hiyo...
wakuu,
kuna maswali huwa najiuliza lakini nakosa majibu!!.
ni jinsi gani serikali ya awamu ya 4 ina practise utawala bora?
na je ni zipi faida na hasara za utawala bora ambazo hadi leo hii...
Usiku wa kuamkia leo - Jumatatu - (saa tatu na robo hivi) nilifungua Radio Station moja ya Kiislamu hapa Tanzania na kusikiliza mahubiri yaliyonisikitisha sana. Mhubiri/mwalimu (sheikh mmoja au...
Hapa pana moshi
baada ya kinguge wa tanesco kutangaza kujiondoa na nafasi ya kingunge wa dawasco imetangazwa kimya kimya kuna nini kwenye haya makampuni makubwa ;;?
mama wa mirembe aja na mpya
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sophia Simba, amevijia juu vyombo vya habari akidai kwamba vinatumiwa vibaya kumchonganisha yeye na wana CCM wenzake ili...
Recently at the KQ office in Dar, I met a fellow traveler, whom we had a discussion on the impact of the influx of Asians in TZ. Needless to say, we were both on the same wavelength; they are...
Jamani kuna vitu vinaendelea kutengenezwa na kuwaumiza wananchi kila siku sasa tumeamua kuuliza je hii ndio miradi aliosema kikwete ya ccm 2010 ama ...mbona wana speed na hakuna viongozi...
Jeshi la polisi nchini limesema kwamba Kamishna Abdalah Zombe bado ni mtumishi wake ila amelazimika kuomba kustaafu kutokana na mazingira ya kesi iliyomkabili na kwamba anasubiri majibu kutoka...
Nakerwa sana na wafanyakazi wa vivuko hivi kwa kutumia lugha ya kiswahili vibaya.
Ni kawaida pantoni inapofika upande wa upili usikie matangazo ya kufika na yanayotoa tahadhari kwa abiria.
Maneno...