Tetemeko la ardhi lawastua wakazi wa kyela! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetemeko la ardhi lawastua wakazi wa kyela!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KILITIME, Dec 7, 2009.

 1. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari za kuaminika na lizozipata kutoka Kyela! jana kuanzia majira ya saa mbili usiku kumetokea mfurulizo wa temeko la ardhi na kuwasababishia wasiwasi mkubwa wakazi hao! hivi punde baadhi ya maeneo yawilaya hiyo kumetokea tena tetemeko! Je wana Jf naomba kuelimishwa zaidi ni hatua zipi wanazoweza kuchukua wakazi hao? ingawa hadi sasa sijapata taarifa zozote za madhara ya matetemeko hayo!
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kwa ujumla natural disaster ni balaaa..........usiombe ikukute........a country like ours sina hakika kama wana vyombo vya "Emergency Management" na hata kama vipo sijui logistic zake zikoje............

  unajua kwa nchi kama ya kwetu kunatakiwa vyombo kama hivi viwe startegically located.....i.e. karibu na zile areas zilizo prone to natural disasters kama earthquakes, floods, nk.....uzuri sehemu zilizo na majanga kama haya zinajulikana........

  Mfano hawa shemeji zangu si wageni na mafuriko........hata hivyo ni vema wakachukua tahadhari katika ujenzi wa nyumba zao (wajenge nyumba zenye ubora ), barabara zao na pia wakumbuke kuzifanyia ukarabati.......pia wantakiwa wawe na centres ambazo zitumike kama shelter...when things like this happens...........

  ......Poleni mashemeji zangu
   
 3. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tetemeko limeendelea kuwanyima raha watu wa baadhi ya sehamu za kyela mchana huu!
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Tetemeko limetokea leo asubuhi.
  Kiini cha tetemeko hilo ni nchini Malawi na lilikuwa KUBWA scale 5

  Monday, December 7, 2009 09:31:44 UTC
  Monday, December 7, 2009 11:31:44 AM at epicenter
  Depth: 10.00 km (6.21 mi)

  Source: Daily seismic activity
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Tetemeko lililotokea Malawi na kufika hadi Kyela.Tukuyu
  Details

  Earthquake Details


  Magnitude5.1Date-Time
  Location9.893°S, 33.972°EDepth10 km (6.2 miles) set by location programRegionMALAWIDistances125 km (75 miles) SSE of Mbeya, Tanzania
  180 km (110 miles) N of Mzuzu, Malawi
  675 km (420 miles) WSW of DAR ES SALAAM, Tanzania
  1005 km (620 miles) SSW of NAIROBI, Kenya
  Location Uncertaintyhorizontal +/- 15.2 km (9.4 miles); depth fixed by location programParametersNST= 19, Nph= 19, Dmin=>999 km, Rmss=0.69 sec, Gp=122°,

  M-type=body wave magnitude (Mb), Version=6Source
  • USGS NEIC (WDCS-D)
  Event IDus2009pwa7
  • This event has been reviewed by a seismologist.
  • Source:US Geological Survey
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,053
  Likes Received: 3,977
  Trophy Points: 280
  walale nje ya nyumba zao kwa usalama wao
   
 7. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Ngoma bado inaendelea kutikisa hivi wakati naandika msg limetikisa kidogo na asubuhi leo hii limetikisa sana. Habari zisizo rasmi zinasema malawi kuna watu wamekufa na minong'ono inasema shughuli za uchimbaji madini malawi zinaweza kuwa chanzo.

  Jana usiku na leo asubuhi mtikisiko umekuwa mkali zaidi kuliko juzi kwa kuwa hakuna taarifa rasmi za wataalam wananchi wanangojea kitakachotokea. Wengine walisema radio za malawi zilitahadharisha watu wasikae ndani kuanzia saa tatu usiku jana.
   
 8. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Hii sasa ni baraaaaaaaa! vp hatua gani zimechukuliwa hadi sasa huko kyela hata mimi taarifa nilizopata hasubuhi hiii duh zinatisha! au ndo kama kawa ya viongozi wetu watasubiri mambo yaende mrama ndo waanze kujiuza??
   
 9. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WaTanzania hatuchukui hatua yoyote mpaka watu wafe ndio tunaamka.

  Poleni sana wana Kyela.
   
 10. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Taarifa nilizozipata hivi punde nasikia wakazi wa Malawi
  wametaadharishwa na hali ya kutisha ya tetemeko la ardhi ambalo linaweza kutokea usiku wa saa saba hivyo napenda pia kuwataadharisha ndugu zangu mlioko Kyela,tukuyu, msiwe ndani ya nyumba zenu muda huo!
   
Loading...