Naomba Environmental policy ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Environmental policy ya Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Dec 5, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Jamani nimeeenda kuibua fitna sehemu na wazungu sasa kadri muda unavyozidi kwenda jamaa wana zero in na najua itafika muda ntakuwa siwezi kupumua hivyo nimeomba recess ili niite mamluki na reinforcements zinginezo

  sasa ninachohitaji ni policy ambayo inazungumzia namna do's and dont's kwenye mambo ya Mazingira Tanzania

  I hope Pasco na jamaa zake watakuwa wanayo

  Hebu niwekeeni humu maana naona akina BATILDA hawana website yenye hiyo policy

  narudi tena mechini next 42 hrs
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Game theory kuna Sheria ya Mazingira (Environmental Management Act Cap 191) pamoja na kanuni zake nyingi (inategemea unataka kanuni inayohusiana na nini).

  Jaribu kwenda kwenye mtandao wa Bunge na usearch hiyo EMA nadhani ipo kwenye website yao kama hawajaiondoa. Ukikosa hapo kabishe hodi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais
   
 3. R

  Rugemeleza Verified User

  #3
  Dec 5, 2009
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hii hapa mkuu

  Na kwa wale wanaotaka: ENVIRONMENTAL MANAGEMENT ACT, 2004 - Tanzania

  Link: http://www.nemctan.org/downloads/ema%20act.pdf

  Au angalia kwenye pdf imeunganishwa hapo chini.
   

  Attached Files:

 5. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,840
  Likes Received: 1,091
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu, hii itatusaidia wengi. Naomba na EMA kama unayo.
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Document nzima ya environmental policy, hata kabla hujaanza kuichambua unaona upungufu mmoja mkubwa.

  Document yote haina ramani hata moja! Document haina chart hata moja!

  Hata ya kizushi tu!

  Hii inakuonyesha level ya seriousness ya hawa watu walioiandaa hii document na exposure level yao.

  A document of this nature, for a country this vast and diverse, not even one map? Not even one chart?

  Environmental policy bila maps and figures in a chart? Utaelezeaje demographic trends bila hata ya ki demographic chart cha uongo na kweli angallau? Kwani tunamjadili Shakespeare katika English literature hapa?

  Hapa si tunataka kufundisha historia bila kutoa timeline?

  Au kuna appendices ambazo hazijawekwa hapa?
   
Loading...