alama ya L | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

alama ya L

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by s.fm, Dec 9, 2009.

 1. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2009
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba kuuliza..wenzetu ambao hujifunza kuendesha gari,utakuta alama ya (L) imebandikwa kwenye gari ikiwa na maana ya lena! sasa tukija kwa wale wanaojifunza kuendesha ndege,meli au treni..nazo pia huwekewa alama ya L?
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  duh! Swali la kipima baridi nini?
  abiria wa ndege wakikuta alama ya L...watabaki ndani?
   
 3. p

  pekupeku Member

  #3
  Dec 9, 2009
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo alama ikiweka kwnye ndege itaonekana vp?
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  no comment...
   
Loading...