Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,487
- 86
Nilipokuwa nasoma habari mbalimbali GPL, nikakutana na mstari wenye utata kidogo!! Sijui hawa waandishi nao wana kopi na kupesti?
Nanukuu....
"Jaji Kimaro na jopo lake akiahirisha kesi hiyo baada ya kusikiliza utetezi wa mawakili wa wakata rufaa, Mabere Marando, akisaidiwa na Wakili kutoka Zanzibar, Hamidu Mbwelezeni, alisema mahakama hiyo itatangaza siku ya kutoa hukumu hiyo na wakata rufaa kurudishwa gerezani. Adaiwa kuchinja mke watoto wakishuhudia".
Angalia hayo maneno yaliyo na rangi nyekundu? Yanaendana na habari hiyo hapo juu??
Source: http://www.globalpublisherstz.com/2009/12/08/babu_seya_abanwa_gerezani.html