Bandari iko Wilaya ya Ilala au Temeke?

Bandari iko Wilaya ya Ilala au Temeke?

GAMBLER

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2009
Posts
303
Reaction score
12
Habari zenu wana jf(G.T).Hili swali la bandari limeniumiza sana kichwa, lakini bado sijapata jibu sahihi, nimewauliza watu wengi sana, wengine wameniambia Ilala wengine wameniambia Temeke, naomba mwenye uelewa atupe data sahihi....

Swali langu la pili ni kuwa nimeona wakazi wa ilaya ya Temeke wamechoka sana kimaisha, hata makazi ya Temeke yako hohe hahe kwa kulinganisha na wilaya nyingine za Dar, pamoja na kuwa wilaya ya Temeke ina vitu vingi muhimu sana ambavyo hakuna katika wilaya nyingine!! kama:-.
1- Uwanja wa ndege
2-Asilimia 90 ya viwanda viko Temeke
3-Uwanja wa mpira wa Taifa
4-Tiper na depo zote za Petrol
5-Uwanja wa sabasaba(maonyesho ya kimataifa ya biashara)
6-Fukwe nzuri za bahari na hoteli nyingi za kitalii
7-n.k n.k n.k
 
.....vipi jamani...mmechemka G.T?
 
Bandari kama Bandari iko sehemu zote mbili Ilala na Temeke(Kurasini)...Ila makao makuu ya Bandari yapo Ilala(I stand to be corrected hapa)
 
Back
Top Bottom