Majembe Auction Mart,Faya, Sumatra, TRA, jamani hii ndio miradi ya CCM 2010?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,036
Jamani kuna vitu vinaendelea kutengenezwa na kuwaumiza wananchi kila siku sasa tumeamua kuuliza je hii ndio miradi aliosema kikwete ya ccm 2010 ama ...mbona wana speed na hakuna viongozi wanaolaumu huu uharamia jamani....watanzania tuamke wenye mabasi msitoe mabasi yenu mpaka huu upuuzi wa majembe uondoke na wenzake....yule baba sumatra amnekaa kuiba tu
 
Ipo siku ukitoka mlangoni mwanko unaambiwa ulipe kwa kuamka salama
 
Jamani kuna vitu vinaendelea kutengenezwa na kuwaumiza wananchi kila siku sasa tumeamua kuuliza je hii ndio miradi aliosema kikwete ya ccm 2010 ama ...mbona wana speed na hakuna viongozi wanaolaumu huu uharamia jamani....watanzania tuamke wenye mabasi msitoe mabasi yenu mpaka huu upuuzi wa majembe uondoke na wenzake....yule baba sumatra amnekaa kuiba tu

Tusilaumu, kwenye nchi ambayo systems zote zimecollapse, vitu kama hivi ni kawaida. Kitu ambacho majembe wanafanya kingeweza kufanywa na sisi wenyewe kama tungekuwa wastaarabu. Lakini kwa sababu kila mtu anajiona anajua na hakuna moral authority wanaingia bouncers kutake care ya situation.

Kabla ya kulaumu tujiulize majukumu ya majembe ni nini, utaona kuwa ni yaleyale ambayo mtu unaweza kuamka asubuhi na kutekeleza kwa hiari na utashi wake. Kwa sababu hatujazoea kutimiza wajibu wetu tunaona tunaonewa, the same to Sumatra, TRA ingawa sina uhakika na faya.

In short kutumia nguvu za ziada ni kielelezo tosha kuwa civility hakuna na system zilizopo zimecollapse.
 
Back
Top Bottom