Its 48 years of Independence.
Unfortunately most of youths are not free in their mind!
We nowdays thinkof harversting without raising crops "MAFISADI"
Let's unleash our thoughtsand make...
mmh jamani hii kampuni tunaipenda sana lakini hizi nauli tuwe wazi inabidi wapunguze....ni kweli kila mtu anaitaji kupanda lakini isiwe tabaka fulani tu kwamba wenye pesa zao ndio wanapanda...
BOMOABOMOA kubwa na ya muda mrefu inatarajiwa kufanyika katika maeneo mengi ya miji na vituo vikuu vya biashara nchini ambapo serikali itachukua viwanja, nyumba, mashamba ya watu na kuwafidia...
08 December 2009
Na Yusuph Mussa
Same, KILIMANJARO
BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Goha, Kata ya Myamba wilayani Same, Kilimanjaro, wamekimbilia katika nyumba aliyofikia Mbunge wa Same Mashariki...
Hivi wanafunzi wa primary/secondary skuli wanaweza kuingia darasani wangali wajawazito? badala ya kufukuzwa kama ilivyosasa,kwani ni haki yao ya msingi kupata elimu.
Vijana wengi walio katika...
Baada ya kung'ang'ania kutovunja urafiki na mafisadi leo hii tunaona mafisadi hawa wakitumia kila mbinu kuvunja mshikamano wa wananchi walioanza kuona CCM si serikali matokeo yake sasa kila dini...
Tukio la kusikitisha limeibua hofu, simanzi na maswali ya kila aina baada ya kudaiwa madaktari wa hospitali ya Temeke kuruhusu mazishi ya mapacha wawili...kabla ya mmoja wa kuzinduka muda mfupi...
American state changes the way it executes prisoners... so that they die more slowly
By Daily Mail Reporter
Last updated at 4:20 PM on 07th December 2009
Kenneth Biros could be the...
Suzy Butondo, Shinyanga
SERIKALI mkoani Shinyanga imetangaza kuwachukulia hatua za kisheria baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini wanaowapotosha waumini wao kwa kusema kuwa wanaponya ugonjwa...
Napenda kuuliza kama ninaweza kutumia credit/debit cards za kigeni katika ATM za Tanzania? Nilipata tetesi kuwa baada ya kutokea wizi katika ATMs mbalimbali Tanzania, pametokea mabadiliko. Napenda...
Hivi kuna uwezekano kweli wa kupata mafanikio kupitia nguvu za giza kama vile kupata kazi,mke unayemtaka au mafanikio mengine ya maisha kwa kwenda kwa wataalam wa kienyeji? kweli mtu anaweza...
There is a tale from Malawi about the Presidents speech during 1980s. This was the time when Dr. Hastings Kamuzu Banda was a despot life president and a demigod of some sort, so to speak. Banda...
Size matters!!
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limelazimia kurudisha kondomu zilizoingizwa nchini kutoka Korea baada kondomu hizo kugundulika kuwani ndogo.
Akizungumza katika ziara ya...
Kikwete yaanza kumshinda
Sasa hata Dk. Shein azoza
SIKU chache tu baada ya kutuma ujumbe kwamba akipita mwakani hatabeba mawaziri wazee, Rais Jakaya Kikwete ameanza kutekeleza azma hiyo kwa...
Tabata kumechafuka,
usafiri hamna daladala zimegoma,
wanadai kuwa majembe auction mart ndio chanzo cha mgomo wao.
Magari ambayo yanaendelea na kazi ya kubeba abiria,
yanatupiwa mawe, kitu ambacho...
Kila siku katika kipindi kirefu sasa,Watanzania tumekuwa tumejiingiza katika malumbano na mijadala isiyokwisha.Lakini mjadala uliotuyumbisha zaidi umekuwa ni mjadala kuhusu ufisadi.
Kikubwa...
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imeanzisha huduma mpya ya upimaji Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini itakayofanyika nyumba hadi nyumba.
Waziri wa Wizara hiyo, Profesa David Mwakyusa, aliyasema...
Niko proud na nchi yangu Tanzania na nafurahi kuwa mimi ni Mtanzania sababu
a) Lugha: ukiwa Tanzania lugha moja ya kiswahili inatosha kutangaza habari zako za biashara na zingine na watu wote...