Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,932
Napenda kuuliza kama ninaweza kutumia credit/debit cards za kigeni katika ATM za Tanzania? Nilipata tetesi kuwa baada ya kutokea wizi katika ATMs mbalimbali Tanzania, pametokea mabadiliko. Napenda kujua kama nikiwa na card za kigeni nitapataje pesa? Natanguliza shukrani.