ATCL punguzeni nauli zenu

ATCL punguzeni nauli zenu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,993
mmh jamani hii kampuni tunaipenda sana lakini hizi nauli tuwe wazi inabidi wapunguze....ni kweli kila mtu anaitaji kupanda lakini isiwe tabaka fulani tu kwamba wenye pesa zao ndio wanapanda airtanzanoia....hili tumeliandika sana kipindi walikuwa wanatusabahi na makaratasi ya kujaza kwenye ndege hakuna kilichoendelea......
Pili punguzeni wazee jamani kwenye ndege..unakuta mama mtu mzima anawajukuu anakaribia kukudondokea kisa umemtuma soda ya kopo unaona hata aibu kumtuma..embu badilikeni kidogo ni nzuri na tunawapenda ila mbadilike kidogo....so good so nyc..,uongozi jaribuni kuliangalia hili mlifanyie kazi najua mna mengi ya kufanya na 10per lakini haya ni muhimu zaidi

wings of kilimanjaro
 
Kwani nauli ni kiasi gani, wanaoffer service gani na wengine wana charge kiasi gani kwa service hizo hizo? Kuhusu hao wahudumu wazee kusema ukweli haipendezi mtu mzima sana akawa mhudumu wa ndege.
 
mmh jamani hii kampuni tunaipenda sana lakini hizi nauli tuwe wazi inabidi wapunguze....ni kweli kila mtu anaitaji kupanda lakini isiwe tabaka fulani tu kwamba wenye pesa zao ndio wanapanda airtanzanoia....hili tumeliandika sana kipindi walikuwa wanatusabahi na makaratasi ya kujaza kwenye ndege hakuna kilichoendelea......
Pili punguzeni wazee jamani kwenye ndege..unakuta mama mtu mzima anawajukuu anakaribia kukudondokea kisa umemtuma soda ya kopo unaona hata aibu kumtuma..embu badilikeni kidogo ni nzuri na tunawapenda ila mbadilike kidogo....so good so nyc..,uongozi jaribuni kuliangalia hili mlifanyie kazi najua mna mengi ya kufanya na 10per lakini haya ni muhimu zaidi

wings of kilimanjaro

True story
 
Tupe price za precision na ATC ndiyo tuchangie mada yako ya kupunguza. mimi napanda mabasi hata nauli ya ndege sijui.
 
hili la wzee sijui niliwahi kukutana na muhusika mmoja akasema bila wao hakuna airline mmh nilicheka nikaondoka...sidhani lina ufumbuzi........tumesikia kuna punguzo la wafanyakazi labda wameondoa wazee...anyway swala wambieni wanywe dawa za alovera wasitudondokee kwenye ndege....unakuta mwanamama anainama mapaja yamekakamaa ahata mvuto tunaitaji kuwa na vjana ata ukipanda ndege unakaa na mumeo
 
Back
Top Bottom