NIONAVYO MIMI (hili nalo neno) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIONAVYO MIMI (hili nalo neno)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by semmy samson, Dec 24, 2010.

 1. semmy samson

  semmy samson Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WALIMU NI BORA ZAID YA WANASIASA. KWASABABU KILA MWANASIASA KAPITIA KWA MWALIMU LAKINI HAKUNA MWALILMU ALIYEPITIA KWA MWANASIASA.
  PIA NDIO WALIOTUTOA UJINGA MPAKA TUKAJUA HATA "A" LAKINI KWANINI KWA KIPATO WALIMU WANAMAISHA DUNIIII SANA?
  WALIMU HAWALETI VITA ILA WANASIASA KILA SIKU VITA, UGOMVI, UCHOCHEZ NA WANATUCHONGANISHA SISI KWA SISI ILA WENYEWE HAA HAWAPIGANI.

  ILA WALIMU SIKU ZOTE WANALETA AMANI, UPATANISHO NA HATA UELEWANO KA YA WATU....

  JAMANI WANA JF KWANINI TUSIUNGANE WOTE KUPIGANIA HAKI ZAO.

  KARIBBUNI KWA MCHANGO WAMAWAZO.

  The man from no where.....
   
Loading...