Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana usiku wamekuja kutugongea majumbani wamekamata watanzania nane, Hata uwe na paspot wanakuchukua hadi saiz tupo mafichoni!
0 Reactions
66 Replies
19K Views
wakuu, kwa wale waliaajiriwa, what do youdo when the boss isnt around ad not looking at you? Iwe kwenye computer au kwingine?
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Rais Mugabe anataka akae madarakani mpaka kufa kwake source VOA. wandugu imekaaje na ukilinganisha na Sisiem na Mugabe = ............
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu hii habari imo ndani VOA Akiadhimisha miaka 86 Robert Mugabe rais wa Zimbabwe kuwa wachunguzi wa masuala ya Siasa duniani wameona Robert Mugabe anataka kukaa madarakani mpaka kufa kwake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Mugabe akiadhimisha miaka 86 ya kuzaliwa kwake anataka akae madarakani mpaka kufa kwake source VOA. wandugu imekaaje na ukilinganisha na Sisiem na Mugabe = ............
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kusema , kume kuwa na tuhuma nyingi , dhidi ya uendeshaji wa kesi inayo mtuhumu babu Seya na mwanawe kuwa hakukuwa na uangalizi mzuri kwnye ushahidi ,kitu ambacho kimepelekea wako...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Wana JF, tukitafakari kuelekea uchaguzi, maoni yangu ni kwamba tunahitaji Rais Mwendawazimu ili kumaliza au kupunguza matatizo tuliyonayo kwa sababu sifa za mwendawazimu ni pamoja na kutokuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chile was ready for quake, Haiti wasn't By FRANK BAJAK, Associated Press Writer Frank Bajak, Associated Press Writer – Sat Feb 27, 8:44 pm ET PORT-AU-PRINCE, Haiti – The earthquake in Chile was...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
YouTube- Ajali haina kinga.wmv YouTube- Helmet can save your life - Dont overtake if the road is NOT clear.wmv
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa napenda kusoma news kutoka website hii,lakini sasa niko fed up,maana kuna habari nyingi za matawi ya CCM UK na habari za CCM kwa ujumla ,rather than general news za maendeleo ya taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu wangu..!well.nimeona ni vyema nikawajuza kinachoendelea hapa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu j.k.nyerere.Kuna hii ndege ya shirika la kizawa la air tanzania iliyokuwa na...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
“Sheria inalenga katika kuweka utaratibu wa kudhibiti matumizi ya fedha wakati wa kampeni za uchaguzi na kuweka mfumo wa kisheria wa uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na vile vile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huku ikiandamwa na zimwi la kutolipa waafanyakazi wake waliowaachisha na kufikia kwenda kwa waziri mkuu,kampuni ya ndege ya ATC imekumbwa na kashfa nyingine kwa kuajiri kampuni moja ya ulinzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila zinapotokea ajali za mabasi ya abiria sababu kubwa inaelezwa kuwa ni uzembe wa madereva, kwa maana nyingine nielewavyo mimi ni kwamba abiria wanaopoteza maisha wanakuwa wameuliwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wezekana kweli tukawa tumetokea huko kama wanavyosema watalamu ? Ape to Human Evolution – The history of an idea sub { line-height: 0; }a { text-decoration:none } The idea of ape to human...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani kuna wale ndugu zetu waliokuwa wakifika uwanja wa ndege kila siku kusbiri ndege ya kwenda nje kuhubiri,..na kuishia kurdishwa na magari ya polisi kutokana na usumbufu wa mara kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo, mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jiji la Mbeya lageuzwa 'shamba la bibi' KWA serikali Shilingi milioni 68.2 ni pesa kidogo sana, na kwa mafisadi hiyo sio pesa kabisa kwao kwani inawatosha kununulia whisky tu, lakini kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkapa anataka azomewe vipi zaidi? HIVI karibuni jina la Mkapa lilirejea kupamba tena kurasa za magazeti yetu kadhaa nchini. Mara ya kwanza ilikuwa ni kwenye kilele cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wezi Wapora Duka na Kumsahau Mtoto Wao Monday, March 01, 2010 5:24 AM Polisi nchini Marekani wanawatafuta wezi waliovamia duka moja la madini na vito vya thamani na kuiba kabla ya kukimbia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom