New bagamoyo road!!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Jamani hivi hawa dawasco na tanesco wana akili au?kutokana na upanuzi wa barabara ya bagamoyo kuanzia moroko kwa sasa kuna zoezi linaloendelea la kuhamisha mabomba ya maji na nguzo za umeme!issue inakuja ktk size quality ya bomba zina inch 8 tuu jee kwa hali ya mahitaji ya maji dar hiyo size itakidhi chochote?haya bado tanesco wanaweka nguzo za miti za kizamani kwa nn wasitumie nguzo za kisasa za aluminium kama zile zile zilizopita kwa kakobe?
 
Nchi imejaa uozo katika kila Idara -TANESCO na DAWASA ni entity za serikali ambazo zipo makaburini, tunachokiona ni mavufu (skeletons)!

BTW: Hata wakiweka mabomba ya 16" maji hakuna! Nguzo za umeme hata ziwe aluminium mgao unaendelea na haijulikani utaisha lini!! Sijui KUKU na YAI kipi kilianza?
 
Back
Top Bottom