Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

The powerful earthquake that killed hundreds of people in Chile on Saturday probably shifted the Earth's axis and made days slightly shorter, a Nasa scientist has said. Richard Gross, a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waganga wanavaa makoti marefu meupe, mashehe na wachungaji na mapadre wanavaa majoho meupe na marefu. Nini faida na hasara zake? Padri, shehe wanapohubiri wanahifadhiwa na mavazi yao wasiaibike...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
United front: Barbara Harriott with her 11 children by five men. All but the oldest lives with her in a four-bedroom house in Lewisham
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna siku nilisikiliza Redio One kipindi cha mchana wa saa saba hivi,mtangazaji bila shaka alikuwa Masoud Masoud kama sikosei,kilikuwa ni kipindi cha wasikilizaji kupiga simu kituoni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kile kinachodhihirisha mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii yetu, vijana wawili mkoani Arusha wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti kisha kumyonga hadi kufa kaka yao wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
See our Leaders..kwa wale hamjaiona - Mtoto kakatwa kiganja kosa la uzembe wa wauguzi- wananchi tulieni tunafanya uchunguzi - Watu wamekuwa vipofu - ngozi za miili zimeoza migodini kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku ya tarehe 1 March 19....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa. kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Najaribu kuwaza na kuwazua mimi kama FL1 ..sioni tunapokwenda ...lakini tunapotoka najaribu kukumbuka.. Nikianza kuwaza matokea mabaya ya watoto wetu yaliyopita ..sisi kama wazazi tumejifunza vip...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Aboud bus laungua moto mchana huu pale ubungo bus terminal lilikuwa linatayarishwa kwa safari ya kesho ya DAR-TUNDUMA. Hakuna mtu aliyejeruhiwa.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
There has been an outbreak of swine flu fever in Kahama District, around Barrick’s Buzwagi Gold Mine in particular, forcing workers to restrict themselves in the mining site. Sources close to the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Keep the love aliveIf you've been in a relationship for some time, you'll know that it's difficult to keep conflicts or personal issues from affecting your sex life. A good relationship is...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Meatu mkoani Shinyanga, Jeremeiah Mulyambate ametangaza nia ya kugombea kiti cha ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akitangaza nia hiyo, Mulyambete...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BARAZA la Mawaziri wa nchi wanachama wa eneo la Maziwa Makuu linalojishughulisha na Mradi wa kudhibiti ukimwi (GLIA), linatarajia kukutana nchini kesho kwa mkutano wa siku tatu kujadili ajenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Meaning...kama kuna matatizo kwenye any elections....kurudia rudia elections?kwa sababu uchaguzi unaghalimu fedha nyingi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ya kusikitisha toka Uganda inasema kuwa daktari mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu aaliyefariki dunia kwa UKIMWI aliacha orodha ya majina ya watu wapatao 782 ambao aliwaambukiza Virusi Vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
waliotambuliwa hadi jana ni Faustine Simon wa Katesh, Manyara; Pastory Kaiza; Epelanya Mleke; Gerald Nyitwe ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Kikosi cha 39 Arusha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Watanzania milioni 8 washinda njaa kila siku(very sad) • Ni idadi inayokaribia waliopiga kura mwaka 2005 WATANZANIA wapatao milioni 8.4 wanashinda na njaa au kulala njaa ili kukabiliana na ukali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mnaweza ni vyema mkajiunga na mashirika mengine hili ppf kwa kweli limeanza kuchoka watu wameanza kudai pesa yao kama walikuwa awatoi.....pesa zinakuja daiwa baada ya mwaka je hapo kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa kijiji kimoja huko Rombo. Bahati nzuri au mbaya nilikutana na balozi wa mtaa akiwa na kadi nyingi za watu mbalimbali wa mtaani kwake,ikabidi ni muulize kulikoni? Balozi wa watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chile quake may have shortened day Last Updated: Tuesday, March 2, 2010 | 11:02 AM ET NASA recently released this composite image of the Earth based on data from the MODIS instrument on the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom