Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahaya Hussein, alisema 1.......Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, ataongezewa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kwa wanaoangalia TBC Kuna mwalimu mmoja dk,wa moja ya chuo amekiri wanafunzi wengi wamekuwa wakides a ili kufaulu mitihani yao..hali ya kudesa ipo kila chuo watakachofanya ni kupunguza...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
NOMA JAMANI NOMA NA IWE NOMA KACHUKUA SIMU KAMPA DEMU WALIPOACHANA KAMPOKONYA.....NICHUMU NICHUMUUUU NICHUMUUUU MWAA ...MLIEMKAMATA NNICHUMU NICHUMU MWAAAA.... Taarifa zilizolifikia gazeti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani kuna watu wengine awana hata shbira wala msamaha waanakuta gari imejaa gafula wanasubiri mlango uemefunga unasikia hewa nzito inapishana kwenye wwatu wengi basi shida tupu hewa hiyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naam wapendwa,,, baada ya kalikizo kangu ka machungu nimerejea rasmi katika kijiji changu,,,, Moshi. Siku iliyofuta tu napata sms toka kwa mtu nisiyemfahamu anaomba kuniona,,, nilisita kidogo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bil. 90/- zatumika kuwalipa walinzi wa Kiwira na Moses Ng?wat, Mbeya WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya New Imara Security wanaolinda mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira wanalipwa malimbikizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WAKATI Serikali kupitia vyombo vya Dola ikipambana na dawa za kulevya nchini na kutangaza kila mara watu inaowakamata kwa tuhuma za kuhusika na dawa hizo, polisi mwenye cheo cha Konstebo wa Dar es...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
When thinking of the "new breed" of celebrity - from the Kardashians to Paris Hilton to the stars of "The Hills" - fame seems to depend on the fact that they're already fabulously wealthy. Well...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF nimekuwa nikifuatilia historia ya Tanzania na hasa ya viongozi wake na nimegundua njama za makusudi zikifanyika kuipotosha. Kwa faida ya vizazi vijavyo ni jukumu letu popote pale tulipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkijirekebisha Mtakaribishwa! Siku moja nilikuwa nimesimama sehemu fulani nikizungumza na mwenzangu mmoja. Akapita kijana mmoja. Nilikuwa nikimfahamu siku nyingi. Alikuwa ni kijana mwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Don't forget to change your clocks DON'T forget to set your clocks forward by one hour on Saturday night March 27 2010, as Sunday...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewashambulia viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwashutumu kwa kuwavalisha Watanzania fulana za kunadi sura za viongozi wake, badala ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JK'S salaams to DIASPORA 2 CONFERENCE in London President Jakaya Mrisho Kikwete Dear Participants, It is with a great sense of pride and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Mbasha Asenga “SAFARI hii tumekuwa makini sana katika kufikia mkataba na Rites kuendesha TRL,” hii ilikuwa ni sehemu tu ya kauli ya aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, wakati...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NINA kila sababu ya kumtukuza Mungu kwa uzima na afya, pia natoa pole kwa Watanzania kwa kuwapoteza ndugu na jamaa zao katika ajali iliyotokea Alhamisi wiki hii eneo la Kibamba, jijini Dar es...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mchungaji Mtikila apata pigo na Datus Boniface MWENYEKITI wa Chama cha Kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amepata pigo baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Wanawake wa chama hicho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa niaba ya familia nawatakia Ibada njema wale wote wenye mapenzi mema na wanaotaraji kwenda kumuabudu mungu katika roho na kweli siku ya kesho usikubali kukaa nyumbani nenda ukamwabudu mungu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWANASIASA wa siku nyingi, Sir George Kahama ameungama mbele ya Rais Jakaya Kikwete, mambo matatu ambayo hakuyafanikisha wakati akiwa mtumishi wa umma na mojawapo ni ujenzi wa Makao Makuu ya Taifa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
ONENI HII. JK NYERERE ,1994......... Nchi yetu bado changa. Tusione haya kuendeleza taratibu ambazo zinaonekana kuwa zinafaa, na wala kubadili zile ambazo japokuwa huko nyuma zimetufaa, lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dk Slaa awashukia Spika Sitta na WeremaHemed Kivuyo, Arusha MBUNGE wa Karatu Dk Wilbrod Slaa, amewashukia spika wa bunge, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Warema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…