Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Dec 22, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,001
  Trophy Points: 280
  Wajameni naomba kuipongeza Mbeya Region (Municipal) na Arusha Council kwa kuona umuhimu wa egovernance

  Na napenda kuuliza kwa nini municipals kama Moshi, council kama za Mwanza na kwingineko haswa kule kulipochukuliwa na Chadema wasiige [​IMG]utaratibu huu wa kuwa na website kujitangaza haswa fursa za uwekezaji? Hebu tujiulize jiji la Mwanza na mji wa Moshi na mingineyo kulipo na utalii kuna fursa ngapi zinapotea kwa kutokuwa na website ya kuonyesha fursa za uwekezaji? just imagine Abravomich kabla hajaja kupanda mlima Kilimanjaro lazma aliingia google na ku-type Kilimanjaro....ni wangapi wa namna hiyo hufanya na how much of a waste opportunity does the region incur? Pls you guys wake up n play ur roles every municipals should have a website


  http://www.mbeya.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=101&Itemid=116
  http://www.arushamunicipal.go.tz/web%20pages/municipal_projects.htm
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwambie kikwete anataka kutangaza kwa kwenda mwenyewe LIVE...hataki mchezo Raisi wetu....
   
 3. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh! Tena sio kwa kutuma mtu. Ha ha ha ha!
   
 4. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aise hii ni hatua nzuri sana kwa kuanzia kwa kweli. POngezi sana manispaa na jiji la mbeya kwa hatua hii nzuri. Inastahili kupongezwa sana manake wameonyesha walau nia ya kuwa na websites. Haya ndio maendeleo yenyewe na kupevuka kimtazamo.

  Changamoto kwa wengine sasa nao kujiunga na mitandao ya websites....!
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwanzo mzuri sana
   
Loading...