Dar Gizani thanks to Tanesco.

Dar Gizani thanks to Tanesco.

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,915
Reaction score
130
WanaJF, Kwa vyovyote vile ni ukweli usiopingika kuwa Tansco inawacheza shere Wadanganyika kwa kuwatangazia hakuna mgao ilhali umeme kila siku unakatwa kwa zaidi ya masaa kumi mpaka kumi na mbili. Hivi sasa ni saa 6 usiku tangu umeme ulivyokatika saa mbili kasoro asubuhi haujarudi na wala hauna dalili kurudi. Kwakuwa humu JF kuna ndugu zetu wanahabari tunaomba mfatilie na ikiwezekana mtubandikie ratiba ya mgao ili tuijue.
 
Hata angepewa Mzirai asingefanya miujiza Tanesco inahitaji overhaul ya nguvu as jamaa walibweteka mika Kumi bila plan yoyote!
 
pole sana kwa kukaa gizani.....
 
Hata angepewa Mzirai asingefanya miujiza Tanesco inahitaji overhaul ya nguvu as jamaa walibweteka mika Kumi bila plan yoyote!

Tatizo ni CCM haina plan! Kitendo cha kutegemea HEP hadi sasa ni aibu. Tuna uranium kwanini tusizalishe umeme wa uhakika kwa kutumia nuclear reactors ?
 
pole sana kwa kukaa gizani.....

Nimeshapoa ndugu na kama adabu nimeshashika adabu yangu! Asante kwa kufeel the terrible moment with no power Thank God hali ya hewa nzuri as mvua inanyesha now otherwise ingekuwa balaa joto + mbu
 
Rev Masanilo said:
Tatizo ni CCM haina plan! Kitendo cha kutegemea HEP hadi sasa ni aibu. Tuna uranium kwanini tusizalishe umeme wa uhakika kwa kutumia nuclear reactors ?
Viongozi na wanasayansi wetu wanasubiria tupewe msaada! Akili zao zimeshakosa ubunifu,zinawaza wapi tunapata msaada wa kutatua mgao wa umeme,ilhali kuna nyenzo za kutatua tatizo ilo bila msaada!
 
Tatizo ni CCM haina plan! Kitendo cha kutegemea HEP hadi sasa ni aibu. Tuna uranium kwanini tusizalishe umeme wa uhakika kwa kutumia nuclear reactors ?

Sikia mdogo wangu, tatizo kila kitu bongo kinafanywa kisiasa mambo ya professionalism hakuna. Na hiyo uranium ikifanyiwa mchakato unadhani wakubwa watakula wapi? Matatizo yanawasaidia watu ndio maana hawapendi yaishe. Kenya wenzetu wana plan kuweka kinu cha nyuklia kwa ajili ya power generation itakuwa nchi ya tatu kwa africa kuwa na kinu cha nyukilia nyingine ni egypt na south africa. Wakati Kenya wanaangalia long term plan kusolve tatizo la power sisi tunapandisha gharama za "umeme" jina kwa asilimia 18
 
Kumbe unajua hilo. Kama tukiweka maslahi ya taifa mbele sisi si masikini hata kidogo. Reserve ya Uranium tuliyo nayo nikubwa mno. Mkwere anafikiria kuwauzia IRAN. Wataalamu Tanzania inabidi wawe Pro CCM hii kitu inakatisha sana tamaa siasa siasa na ufisadi big time.

Kuna Mtanzania yuko NASA kwa muda mrefu sasa, najua walio US wanamjua. Hawezi kunufaisha Tanzania alikotoka sababu kila kitu nyie lazima kiwe na mkono wa CCM. Huu ni ujinga na Ujuha. Angalia yaliyomkuta Tido Mhando unafikiri kweli kwa hali hii unaweza mshauri Rev Masanilo arudi bongo kweli? Kwanini asiendelee kula box ughaibuni na kusadia nuclear members of his family kuliko kusaidia nchi. Amkeni watanzania piga chini viongozi goi goi waliolala usikizi wa pono. Leo hii mko gizani hahahahahahahahh tena mko Dar duuuu
 
Hayo yote ni matokeo ya NGUVU zaidi, KASI zaidi na ARI zaidi ikiwa kazini. Vumilia tu sisi huku vibatari vimetuzoea miaka nenda rudi wala hatupati shida.

WanaJF, Kwa vyovyote vile ni ukweli usiopingika kuwa Tansco inawacheza shere Wadanganyika kwa kuwatangazia hakuna mgao ilhali umeme kila siku unakatwa kwa zaidi ya masaa kumi mpaka kumi na mbili. Hivi sasa ni saa 6 usiku tangu umeme ulivyokatika saa mbili kasoro asubuhi haujarudi na wala hauna dalili kurudi. Kwakuwa humu JF kuna ndugu zetu wanahabari tunaomba mfatilie na ikiwezekana mtubandikie ratiba ya mgao ili tuijue.
 
Mkome kabisa maisha bora kwa kila Mtanzania hahahahhh
 
Njooni huku Mafinga kwetu AC kwa sana tu. Hakuna cha joto wala kunyemelewa na mtu gizani.

Na hili liwe FUNDISHO kwenu siku nyingine mnapoambiwa hizi kauli mbiu za mara 'NGUVU zaidi, KASI zaidi na ARI zaidi' ni sharti mkahoji kwamba ni GUVU YA NINI? Na hizo KASI NA ARI ZOTE zaidi hizo ni katika lipi??

Sasa oneni giza nene hilo. Masikini Wa-Danganyika wenzangu hawa.

haki ya nani vile tuko gizani mpaka muda huu wajameni, huu mgao gani duh!
 
.....sijui hawa watu wataendelea kuhujumu uchumi wetu mpaka lini?!!!!!!!!!!!!!
 
Ndiyo yale yale unasikia watu wameshikwa na hasira wameenda kuchoma ofisi moto
 
Tatizo ni CCM haina plan! Kitendo cha kutegemea HEP hadi sasa ni aibu. Tuna uranium kwanini tusizalishe umeme wa uhakika kwa kutumia nuclear reactors ?

hiyo uranium nikwajili ya wakubwa sio kwa ajili yani cjui nanikatuloga wadanganyika kwamba tukidanganywa wote kmya wenye akili na wasio na akili
 
Hebu angalia hapa chini:
= = = = = = = = = = = =
Friday November 26, 2010 :: Ngeleja - Mgawo wa umeme kuwa historia (Source : Majira)
Wednesday Desemba 8, 2010 :: Ngeleja - Sasa Tatizo la Mgao wa Umeme kumalizika Jumamaosi
Tueday Desemba 21, 2010 :: Gharama za umeme zapanda, mgao waendelea (Source : Tanzania Daima)

= = = = = = = = = = = =
:redfaces:
 
kaka ulienzisha hii mada hukumuekewa Waziri alisema hivi! mtatizo la mgao litakwisha ndani ya miaka mitano. inamaana tutaendelea na mgao kwa kipindi hiki chote cha cha utawala wa ccm.
 
Acheni kelele nyie umeme wenyewe mmeukuta mjini mlipokuja kusoma chuo kikuu.tuliei fanyeni kazi kama umeme hautakuja kuwepo tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom