Shirika la uma linaloogoza kwa ubovu.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wadau hebu tujadili shirika la uma linaloongoza kwa ubovu. Mimi ninaona shirika linaloongoza ni TANESCO. Shirika hili achilia umuhimu wake kwa taifa limekuwa likitoa huduma mbaya miaka nenda miaka rudi na kila mara linakuja na visingizio tofauti,umeme mgao kila mara,umeme kukatikati kila mara,umeme mara high voltage mara low voltage matokeo yake kuharibu vitu,ukitaka kuunganishiwa huduma unaweza kuchukua miaka na ni gali sana.
 
Tra............................, police.................sumatra,............................
 
Back
Top Bottom