Hii ni democrasia ya wapi?????

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
2,000
Wakuu tumeshuhudia nchi ya kwanza ya Afrika kuwa na marais wawili. Lakini cha kushangaza ni pale tunapoona wakuu wa Afrika wakimtuma Bwana Mbeki eti aende ku-solve mambo wakati inajulikana kwamba mshindi ni nani. Hivi hii ni type gani ya democracy? Eti mpinzani akishinda basi wazungumze kushirikiana wakati ilani na malengo ni tofauti? Kwanini AU wasiwe na msimamo kama wa UN? Nawasilisha
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,633
1,195
Kwani hujui hao AU ina watu waliopata uongozi kwa njia kama hizo? jana marekani et al walimpongeza Ouattara, huku Bagbo akipongezwa na wanafiki wenziwe>. Hapa naona kinachofuata ni north vs south!
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,633
1,195
Kweli kabisa! Miafrika ndivyo tulivyo! Na hatuwezi kundelea kama nchi/jamii kwa sababu tu ya kujifikiria pale unapopata ureda wako binafsi na si jamii yote kwa ujumla!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom