jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Rais wa serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndugu Mathias Simon Kipara anataka kuleta Mgomo.
Kipara kama rais wa DARUSO ameshindwa kufuata maazimio ya bunge la Daruso na kwa tamaa zake binafsi ameamua kuirudisha UDSM kwenye TAHLISO wakati UDSM kama Chuo cha UMMA kilishaaamua kujito kutoka TAHLISO, wakati wa maazimio ya kujitoa TAHLISO vyuo vya Umma vilidai kwamba TAHLISO imetekwa na mafisadi hivyo kutowatetea wanyonge pamoja na watoto wa wakulima wakati wakudai masuala ya MSingi kwa mustabali wa maendeleo ya TAIFA.
KIPARA amekwenda mbali zaidi na kuchukua PESA toka DARUSO bila ya kukubaliwa naBUNGE kwenda kulipia ADA ya TAHLISO.
KPARA amekuwa mtu mwenye kiburi na jeuri kubwa ameunda kamati yake ambayo kazi yake ni kufanya mawazo ya wasomi wa UDSM yasisikike kwa kubandua matangazo makala nakila kitu ambacho watu husema kuhusu yeye.
Sasa wanafunzi wanamtaka ajiuzulu, lakini yeye anaina madalaka ni kama pepo na hataki kukubaliana na hilo.
Katika hatua ya kushangaza Bunge la Daruso ilikuwa likae leo kupiga kura ya kumng'oa Uongozi wa Chuo umezuia mikutano yeyote ya Bunge.Huu ni mzaha..watu hawa hawakitakii mema chuo hiki.,Wanapenda kuona migomo ikitokea mara kwa mara na wakiendelea hivi Mgomo UDSM unanuakia soon..Tusubiri tuone jumatatu..!