Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MWANAMKE aliyekutwa na aibu ya kumfumania mume wake na msichana wa kazi, amejikuta akirudi nyumbani kwake baada ya kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali lakini amejitenga na mume wake huyo kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kwanini migogoro mingi inaikumba Bara la Africa na Asia kwa sana, watu kuuana na wengine kuachwa vilema kwa vita vya kila siku.Ukiangalia Asia kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sikuhizi, hawa matx wandani wamekuwa taabu sana kupatikana. Ugumu wakupatikana kwao nikama biashara ya kumtafuta mchumba. Naomba nisaidiwe kupata house girl aliyetulia... Nielekezwe tu mie...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Also visit here: Fire Fighters For 9-11 Truth » FF 911 Truth
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, 06 December 2010 08:41 Steven William, Muheza MWANAUME mmoja ambaye ni mkulima, Selemani Abdallah miaka 47 amejeruhiwa sehemu zake za siri baada ya kung'atwa korodani na mke...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I have stumbled upon these articles and thought worth sharing. Got a few more in the garage for any other aficionados out there. And here, a report from an ongoing project in the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I have been asking myself this question. So I wanted JF great thinkers to help me with concrete answers. You know countries with poverty minded leaders like ours have been dancing to the tunes of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Abdallah sumry aliyekua mbunge sumbawanga amekamatwa kwa wizi wa gari la serikali!jamani hawa CHUKUA CHAKO MAPEMA mbona ni hatari sana yani hata kumkaribisha mwana CCM home kwako anaweza ondoka na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KATIKA kampeni zilizopita kila mgombea aliweka ahadi zake kuwa kama angepewa ridhaa na wananchi angefanya nini katika kuwaondolea kero zinazowakabili. Hatimaye kampeni zilimalizika na uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijuw kama huyu mzee kuna mtu atavunja rekodi yake! Yaan kaoa wanawake zaidi ya 100 na watoto zaidi ya 600... Mpeni hongera jamani!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bomani: Dowans sasa imetugharimu Ataka mitambo ya Dowans ibakishwe nchini MWANASHERIA Mkuu wa kwanza mzalendo, Jaji Mark Bomani amesema hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SERIKALI YETU MBONA HAILIFIKIRII HILO NA WAKATI UPEPO NI KITU KISICHO NA GHARAMA?TENA NI SYSTEM YA KUDUMU mradi wa kina mwakyembe singida umefikia wapi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bukoba vijijini bado yashika mkia kielimu Monday, 06 December 2010 22:12 Phinias Bashaya, Bukoba WILAYA ya Bukoba Vijini ambayo aliyekuwa mkuu wa wilaya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanaJF, nimeambiwa kuwa zamani Forum hii ilikuwa inaitwa Jambo forum na ikafungwa na serikali na ikabadilishwa kuwa Jamii forum ambayo mpaka sasa tunatoa mawazo yetu tukiwa huru. Hii ni...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
WanaJF. Mimi napendekeza kuwepo na jukwaa la mazingira,ili mada zote zinazohusu masuala ya mazingira na maliasili za TZ na dunia kwa ujumla ziweze kuletwa na kujadiliwa. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara nyingi huwa ninajiuliza maswali na kukosa majibu.Kwanini Tanzania tujisifu kila siku kuwa ni Nchi ya Amani wakati Watanzania wake mioyoni mwetu tumejaa Manung'uniko kila kukicha? Kila kukicha...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nianze kwa kuwashukuru watanzania wote (ndani na nje ya nchi) ambao tayari mmeitikia wito huu na kuonyesha ushirikiano wa hali ya juu kwa kusaini petition. Sambamba na hilo, napenda pia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani naombeni japo mnipe ka elimu kidogo kuhusiana na bajeti ili niweze kusavaivu katika sikukuu hizi zijazo za mwezi wa Desemba. Kamshahara kenyewe ni TGS.D na kabla ya tarehe 20 Desemba kuna...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
MWANAUME mmoja ambaye ni mkulima, Selemani Abdallah miaka 47 amejeruhiwa sehemu zake za siri baada ya kung'atwa korodani na mke wake. Tukio hilo, lilitokea juzi katika Kijiji cha Mindu Kata ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wana jf wenzangu napata utata mkubwa kuhusu bei iliyo pangwa kwa ununuzi wa hizi ELECTRONIC FISCAL DEVICE ambapo yenye bei nafuu kabisa ni Tzs 1,860,000/- lakini ukiangalia chombo chenyewe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…