EFD je bei yake ni sawa


Joined
Jul 30, 2010
Messages
43
Likes
12
Points
15

jjeremiah

Member
Joined Jul 30, 2010
43 12 15
Wana jf wenzangu napata utata mkubwa kuhusu bei iliyo pangwa kwa ununuzi wa hizi ELECTRONIC FISCAL DEVICE ambapo yenye bei nafuu kabisa ni Tzs 1860000/- lakini ukiangalia chombo chenyewe hakifanani na thamani hiyo ya pesa maana ni sawa na calculator ya kawaida iliyoongezewa ka printer kadogo na memory card ya GB 2 kingine ni WAP ambayo ni teknolojia ya kawaida ambayo hata simu za Tzs 30000/- huwa nazo. Utata huwo naupata pale ninapoangalia vyombo vingine kama vile laptop ambapo yenye thamani ya wastani wa Tzs 1200000/- inakuwa na vitu vingi sana na vya kuweza kufanya kazi sawa na hiyo EFD au hata zaidi sasa hii kwanini iwe ghali kiasi hicho, naomba maoni yenu.
 

Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
1,819
Likes
377
Points
180

Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
1,819 377 180
mkuu inaelekea una jambo ulitaka kutuambia lakini umeamua kuzunguka kwa kutaka mtu mwingine ajitolee kumfunga paka kengele..sema tu mkuu.....uwanja wako huu.........:A S crown-1:
 

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
2,098
Likes
465
Points
180

Sijali

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
2,098 465 180
Bei za vitu vingi Tanzania feki aidha kutokana na ushuru mkubwa au tu hakuna wa kufuatilia bei za bidhaa. Naona wakubwa pia hutia mfukoni the difference. Infact, ni nafuu kuishi London kuliko Dar- kulingana na bei za umeme nk.
 

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
6,337
Likes
459
Points
180

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
6,337 459 180
na kuna specific point of sales only...haziuzwi ovyo ovyo...Mradi una wenyewe! do u remenber speed governers??:redfaces:
 

Forum statistics

Threads 1,204,248
Members 457,210
Posts 28,147,924