Mbunge mwingine wa ccm aiba gari!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,521
2,000
Abdallah sumry aliyekua mbunge sumbawanga amekamatwa kwa wizi wa gari la serikali!jamani hawa CHUKUA CHAKO MAPEMA mbona ni hatari sana yani hata kumkaribisha mwana CCM home kwako anaweza ondoka na vijiko umma sahani mfukoni.source gazeti la leo
 

Panga La Shaba

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
209
0
Huyo Sumry ndio yule mwenye mabasi ya SUMRY......kama ni yeye mbona jamaa ni fogo...hawezi kuiba gari,utakuwa ni udaku mkuu
 

Lubaluka

JF-Expert Member
May 18, 2009
497
225
Huyo Sumry ndio yule mwenye mabasi ya SUMRY......kama ni yeye mbona jamaa ni fogo...hawezi kuiba gari,utakuwa ni udaku mkuu

Mkuu, hio habari ni ya kweli na imetangazwa toka jana kwenye vyombo vya habari ( Radio ) na leo iko katika magazeti mbali mbali ya hapa TZ.

It's true - even confirmed by police.
 

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
654
195
Wizi ni tabia, utajiri ni matokeo. Hata akina EL, RA wote ni wezi na ni matajiri.

Akili kichwani...
 

Diehard

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
448
500
I don't think there will be anything material in this case taking into consideration the accused accommodated some Buses from Ridhiwan Kikwete under his business name and also he is one of those CCM tycoon who contributed much in the previous General Election.

Kweli mwizi ni mwizi tu kaacha ufisadi mkubwa kakimbilia wizi wa magari, unachotakiwa kujiuliza kafanya kama hizi mara ngapi? Inasemekana hili gari lilikuwa limeunganisha na Car Trucking System
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom