Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana-Jamiiforum Members and guests,nashauri iwepo siku ya HASIRA Tazania ili tuweze kuwaweka viongozi wetu kwenye mstari kipindi hiki cha mageuzi ya kiuchumu tuendane na soko huria na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Enzi zile 2likuwa 2nasoma vitabu na hadithi kama: juma na roza (pipiii,simile nipite na motokaa yangu) sizitaki mbichi hizi pamela na kipini bulicheka fikiri mimi masikini edina na bustani...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Wachezaji wa golf waliokuwa wakicheza katika viwanja vya Dar es Salaam Gymkhana Club leo jioni, wamekumbwa na maafa makubwa baada ya mvua kubwa kuanza kunyesha zikiambatana na upepo mkali...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Kama tulivyoona au kusikia kauli mbalimbali kuhusiana na haya matukio ya Mbagala na Gongo la Mboto, wanasema makazi ya watu yanatakiwa kuwa mbali na kambi za Jeshi. Kama ndiyo hivyo, Je makazi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wenu nimeibiwa kadi original ya gari na vibaka waliovunja kioo cha gari na kuiba pamoja na vitu vingine. ni nini nahitaji kufanya police tayari nimetoa taarifa je nahitaji...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni sms inayosambaa kwa kasi jijini Dar na mikoani. Nimeinakili kama inavyosomeka ktk heading.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Kuna umuhimu wa kuwa na square hapa Tanzania ,hiyo iwe ni sehemu ya kukutana kwa wafurukutwa/wanaharakati wa maisha ya wazalendo wa nchi hii,huko Kenya kuna Kamukunji na Uhuru gardens,vilevile...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Haya kesho ndg zetu watakua wanasherehekea kuzaliwa kwa Mtume SAW. Ninawatakia sikukuu njema ila ombi langu kwenu, kesho viongozi wenu wajitahidi kutoa speech zenye mwelekeo wa nchi na sio...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vituo vya utalii kujengwa Dar HALMASHAURI za Jiji la Dar es Salaam, zimeshauriwa kutenga maeneo kwa ajili ya kujenga vituo vya kitalii ili ziweze kujiongezea mapato. Ushauri huo ulitolewa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Poleni sana wakazi wa Gongo la Mboto
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chanel 10 hawaonyeshi Barca VS Arsenal, kama unapata ATN poa lakini kama hupati ATN na utamia star times kama mie basi mzigo upo KBC nawakilisha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nimesikia ule utaratibu wa kukopeshana mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kununua magari ya kifahari unaendelea, kama kuna wakati wa kuwaonyesha watanzania njia kwa vitendo ni sasa, hata kama ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kodi ya maendeleo ya Taxi na pikipiki imepanda toka 95000 mpaka 191000. Watu wa pikipiki na taxi wanalalama! Ari mpya, nguvu mpya kasi mpya hukooooo Tabora! Source: TBC Kipindi cha Dira
0 Reactions
23 Replies
3K Views
"The night before government abolished cooperatives, wise men had been told by secret sources and therefore they spend a night resolving KNCU and registering Kilimanjaro Uremi Corporation or KUC...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa mtumiaji wa huduma ya internet ya zantel (Zconnect) tangu walipoanza kuleta modem zao. Kubwa zaidi nilijiunga kuwa mteja wa high life. Hivyo nilikua najiunga na kifurushi cha wiki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
IT’S FAKE! Tanzania Standard (Newspapers) Limited employees Monica Kayuni (left), Jacqueline Sadicky (centre) and Jane Chiponde look with consternation at the counterfeit 10,000/- notes collected...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu kuanza kwa bunge linaloendelea makinda amejitokeza wazi kwamba amepania kweli kweli kukwamisha wabunge wa CDM katika kutekeleza wajibu wao wa kuisimamia na kuikosoa serikali inapobidi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watanzania kwa pamoja tumekubaliana kwamba kutokana na majukumu makubwa waliyonayo Viongozi na watendaji waandamizi serikalini, ambayo yanahitaji akili iliyotulia, kuna umuimu mkubwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Uchaguzi uliomuingiza Mkwere Madarakani Mwaka 2005, Kanisa katoriki lilijiingiza kwenye Siasa za uchaguzi Miguu yote miwili na kuwalazimisha Watanzania Wamchague Kikwete kwa sababu ni...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
wakuu jana nilikwenda wapo mission wana kifaa cha kupima afya mwili mzima kwa sekunde 56 na kinakupa majibu yote nakama unaflash disk wanakuwekea majibu yako na pia wanamtambo wakutoa sumu mwilini...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…