Baada ya Mbagala na Gongo la Mboto na hapa je??????

Huo ndio mji wa Mbalizi hasa upande wa kaskazini, kusini mwa kambi ni kota za wanajeshi na kusini-magharibi ni Iwindi.
Tuombe Mungu maafa kama hayo yasije yakatokea hapa. Ee Mungu tusaidie.
 
hIvi Makao Makuu ya Jeshi hapo Upanga hakuna Ghala la silaha? nishakuwa na wasiwasi sana, its like in TZ we're not safe wakuu.

Hapo Lugalo napo vipi wakuu, yakifumuka hapo ni balaa tupu? Je Ikulu ndani nakuna Ghala pia?

Unajua Mambo ya jeshi ni siri lakini yakilipuka siri hufichuka.
 
Ngoja nitafute picha ya satellite nione.
 
inasemekana Lugalo yapo, Upanga yapo, Changanyikeni yapo, makuburi yapo..... tuombe Mungu tu atuokoe....
 
hata mimi nashauri tumfuate huh=kohuko juu tukimngojea chini atatumaliza uvumilivu naona umeisha kilichobaki maamuzi tu kwani situnawaona wenzetu wa misri
 
Unajua Nyerere aliyaweka kila sehemu ili kuweka ulinzi ambao kwa wakati ule ulikuwa ni muhimu, lakini kwa sasa lazima haya maghala wayaondoe town, huwezi kuwa na ghala city centre ujue unataka maafa.

Kwanza dunia nzima inatushangaa? yaani hatuwezi hata kuhimuli utunzaji wa silaha zetu wenyewe? hivi watanzania tunaweza nini?

Mimi siwaelewi hawa wanajeshi wetu - may be kuna mgomo baridi wa askari kanzu (Vyeo chini ya Sajenti) - hapo umuhimu wa tume huru ni LAZIMA kuchunguza mbivu na mbichi.
 
Back
Top Bottom